Recent content by isack mlala

  1. I

    Lowassa amgaragaza Magufuli kwenye "media coverage"

    Anaesema magazeti ayapigi kura anapotoka,media/matangazo yanauwezo mkubwa wa kubadili mambo,kuleta amani ama vita,tadhama nchi kama rwanda media jinsi zilivyochangia mauaji ya kimbari, matangazo pia yanauwezo wa kukufanya ufutike na bidhaa inayofagiliwa sana,MF.matangazo yamefanya kila kituo cha...
  2. I

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Vodacom nikero kiasi nafikiria kuuhama mtandao huu sina muda mrefu,kwanza haya mabadiliko ya bandle bila ufafanuzi,unajiunga unakuta mb na dak,ni chache SMS kibao,hizo dak.sasa,nazo unaibiwa,mara kibao tu naibiwa,mf.Jana nimejiunga dak.19 nmeongea na mtu dak.9 zakwenye saa,dak.zamaongez...
  3. I

    Wabunge wa CCM waandaa hoja ya kumng'oa Spika Makinda

    Hiyo taasisi kenda nayo teacher,sasa ni yawapiga dili tu.
  4. I

    Wabunge wa CCM waandaa hoja ya kumng'oa Spika Makinda

    Hiyo taasisi kenda nayo teacher,sasa ni yawapiga dili tu.
  5. I

    Masters degrees za Mzumbe University zinaua ubora wa elimu

    Duuu,wasomi mnabishana kwa panic hivo,ndiyomaana wazee wwanajenga hoja kuwasisi vijana hatutakiwi kuwa rais wa nchi,kwa hii mihemko yeti,nikweli nakubaliana nao,mana kwa style hii ukipewa nchi kijana,mambo ya ajabu sana yatatokea.huku mitaan wachapa kaz wengi ni wakawaida turn,awajasoma...
  6. I

    Shahada zenye soko na zisizo na soko kwa sasa hapa Tanzania

    Dogo tundu ameshanisemea,tafiti ya uongo hyo,aina vigezo,labda ungeeleweka unge ainisha ni soko la kuajiriwa au kujiajiri?pia hao uliowataja si kutokana na ubora wao,bali uchache wao,law inalipa,tena lawyers tunatafutwa,ktk baadh ya mikoa hawapo,tunakula kwakugusa,ukigusa tu mhuri,twenty had ma...
  7. I

    Bungeni: Maswali ya Papo kwa Papo ya Alhamisi ya 20 Nov, 2014

    If you talk much,they cease you.take care wenye majina live,Nani awafunulie masikini watanzania waone nyiusi kuwa ni nyeusi?
  8. I

    KASHFA: Serikali yawanyang'anya wamasai ardhi na kuwapa DUBAI ROYAL FAMILY

    Ccm chama makini tuacheni tufanye kazi tulete maendeleo yenu.mnalalamika nini wakati uchaguzi ukifika mnatupa kura na wengi wenu hamwend kupiga kura...
  9. I

    Nina Shaka na mwaka 2015, tuweke akiba

    Hilo la akiba ya fedha ni mhimu sana,katiba mpya,chaguzi serkl za mitaa,uchaguz mkuu,uboreshaj daftar la upigaj kura,vitambulisho vya taifa,wahisan kugoma,&ufisadi nakulindana.na hatar katba kama busara haitatumika,,,sijui nini kitatokea,Mungu atulinde.
  10. I

    Ajira za Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) hamjasomeka vema

    Mwezi July,014 zilitangazwa ajira za arbitrators na mediators jumla ya kama nafas za kazi 58 hivi kupitia utumishi sekretariati ya ajira,ambapo sept 22 na 23 ilikuwa tar za usahili,ambao uliitishwa na kufanyika pale CMA DSM nakuhaidiwa kuwa majibu ya usaili yangetoka ktk kipindi cha wiki mbili...
  11. I

    Kuna umuhim wa afande Nzowa kuchunguzwa

    tunajisumbua bure kutaka mtu mmoja mmoja ang'atuke kwa uzembe,hapa ni kuung'atua mfumo wenyewe tu 2015,mfumo mzima huu ni rotten toka juu,we ushangai maafisa wa usalama wanne kuusishwa na kupitisha madawa but jitu lipo kimya tu,linasoma upepo ndo liseme.watoto wetu wanaangamia wao wanajikosha...
  12. I

    Mtanzania akamatwa akiwa na Madawa ya Kulevya United Arab Emirates (UAE)

    leo mnachekelea,kesho nchi itapofikia kiwango cha kutotawalika kama columbia na mexico mtafurahia kuwa wakimbizi,mana haya hamtakua na nguvu na uhuru wa kuyajadili mana tutakufa,hili ni tatizo la kimfumo,viongozi wetu si tu wamenunuliwa,bali nao ni ma taikuni wa madawa,na hasa hivi sasa...
  13. I

    Utata bishara ya madawa ya kulevya!

    tusipochukua hatua tutakwisha wote vijana,tutakamatwa huko nje,tutafungwa miaka mingi,kunyongwa na watumiaji kufa bila sababu na hasa taifa letu kuwa la kibabe(state capture) kama colombia,na nchi zingine za amerika ya kusini.
  14. I

    Sasa miito ya simu yenye ujumbe wa dini marufuku!!!

    kweli huu ni wakati wa shetani,kama nyimbo za kishetani na nusu uchi zinaachwa na nyimbo za dini kama milio ya simu inatolewa basi,,,
Back
Top Bottom