Lowassa amgaragaza Magufuli kwenye "media coverage"

Lowassa amgaragaza Magufuli kwenye "media coverage"

Wanaosema kuwa wanalpwa na Lowasa, je Lowasa ana hela kuliko CCM?
 
nyi jidanganyeni tu na hizo promo, tar 25 october mtaanza kulialia humu ooh wametuibia kura, Magufuli hajashinda kihalali....

Awam Hii Mtaibiwa Nyinyi Sasa Ndio Utaona Kelele, Mwizi Akiibiwa Mtaa Mzima Utajua
 
Magazet hayapigi kura!!!!" Tehtehteh

Ni kweli magazeti hayapigi kura lakini yanasomwa na wapiga kura. Utapuuza hii analysis kama hujui impact ya vyombo vya habari kwenye fikra za watu. Magazeti yanaweza kumshusha au kumuinua mtu.
 
Malisa Godlisten

UPINZANI WA KWELI UTAANZIA CCM....(Mw. Nyerere) mwisho wa kumnukuu.:disapointed:
 
Last edited by a moderator:
Acha wanahabari nao wavune pesa zao Lowasa na media magufuri na watanzania hasa wapenda maendeleo bahati nzuri magazeti hayapigi kura.

Wanasahau huu ni mda wa mavuno ..vya mlevi huliwa na wagema
 
Ni kweli magazeti hayapigi kura lakini yanasomwa na wapiga kura. Utapuuza hii analysis kama hujui impact ya vyombo vya habari kwenye fikra za watu. Magazeti yanaweza kumshusha au kumuinua mtu.

Rais wa media
 
usisahau kuwa watanzania tunatafuta rais wa tanzania na sio mtu maarufu. binafsi sitapiga kura yangu kwa kuangalia umaarufu wa mtu bali anaenda kufanya nini ikulu. kama ni umaarufu hata diamond au wema sepetu wanao na kila siku hawakosi kwenye magazeti.
octoba 25/26.
Malisa Godlisten
 
Last edited by a moderator:
Malisa Godlisten

Ndio utafiti wako huo?? kwamba Lowassa anaaandikwa sana therefore anakubalika kuliko Magufuli?? use ur brain to think..mi nasoma magazeti kila siku na kura yangu nshampa magufuli Tayari.
nasubili tu siku ya kapiga kura
 
Last edited by a moderator:
Anaesema magazeti ayapigi kura anapotoka,media/matangazo yanauwezo mkubwa wa kubadili mambo,kuleta amani ama vita,tadhama nchi kama rwanda media jinsi zilivyochangia mauaji ya kimbari, matangazo pia yanauwezo wa kukufanya ufutike na bidhaa inayofagiliwa sana,MF.matangazo yamefanya kila kituo cha mafuta watu wakiite sheli,lakin sheli ni kampuni,au kiwi,kiwi ni kampuni,so ccm tusijiaminishe kwa ukimya wa media kwetu.
 
Leo Dodoma vipo vikao vya CCM pale nje ya jengo la CCM wapo wajasiriamali wanaouza bidhaa kadha nyingi zenye nembo na matangazo ya CCM ,ukweli utawahurumia wako peke yao hakuna wanunuzi,sijui hizi nguo baadaye watazipeleka wapi maana kila uchao thamani yake inashuka,ama kweli biashara ni matangazo
 
Back
Top Bottom