SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,953
- 2,044
mkuu umenena tunahitajika kujipanga
mkuu mi zamani nimeashaanza hizi mambo za jeti lee na van damme,bado za bolt mapema mwakani,ikifika tu steji ya mabaka kuingia uraiani nitakuwa fresh,ngoma dar-lindi-mtwara-msumbiji-nyumbani S.A
Tusisahau na kuanza mazoezi ya kung-fu au ya kutafuta pumzi ili mbio zikusaidie inapobidi.
mimi na vijana wangu kumi na wa nane tumeshaanza mazoezi mepesi kupambana na dola.
Matarajio na kujuwa ni vitu tofauti.
Hakuna ajuwae la kesho itakuwa 2015?
Kuwaambia watu leo warundike vyakula na fedha za akiba kwa hofu yako ya mwaka 2015 ndio kuwa "optimistic"?
Amma kweli.
Wacha kutisha watu kijinga, wewe unajijuwa kuwa utafika hiyo 2015?
Matarajio na kujuwa ni vitu tofauti.
Hakuna ajuwae la kesho itakuwa 2015?
Kuwaambia watu leo warundike vyakula na fedha za akiba kwa hofu yako ya mwaka 2015 ndio kuwa "optimistic"?
Amma kweli.
Unaweza kuwa na matarajio bila kujua lakini sidhani kama unaweza kujua pasi na kuwa na matarajio
Wana JF wenzangu kutokana na hali ya kisiasa inavyobadilika kila kukicha ninaona picha fulani ya maisha na huduma za kijamii kuwa ngumu kwa wananchi wa kipato cha kawaida kwa mwaka ujao. Mambo matatu yanayosababisha mashaka haya ni:-
1. Mvutano wa katiba mpya
2. Uchaguzi mkuu.
3. Wahisani kusitisha misaada
Nadhani sina haja kuyaelezea hayo yote matatu kuwa yanawezaje kuyumbisha hali ya maisha ya wananchi.
Ushauri wangu ni kwamba ifikapo mwk 2015 ni vema katika familia zetu tukaandaa utaratibu wakuweka Akiba ya Chakula cha kutosha ndani. Na sio chakula tu ila hata Akiba ya Fedha ya dharura. Ingawa tunashauriwa kuweka fedha Bank ila ni vema kuwe na akiba yako fulani kwani sector za Kibenki hazitabiriki muda wote. Mfano migomo nk
Wewe wacha porojo, hakuna ajuae la kesho wacha 2015.