isack mlala
Member
- Apr 8, 2013
- 45
- 5
kweli huu ni wakati wa shetani,kama nyimbo za kishetani na nusu uchi zinaachwa na nyimbo za dini kama milio ya simu inatolewa basi,,,
huondoi wewe mkuu itaondolewa automatic na campuni.ua upo mbali na ITCku za mwisho zmefka bdo parapanda kulia 2 walioshnda ulimwengu waondoke...J.K amepgawa milio ya cm hw?? Wakina shedrak wa leo watajulkana m ckubal kutoa mlio wngu labda Tz 2we paganism no waimbaj wa gospel,ndo ntaelewa