Recent content by Isack Lusajo

  1. Isack Lusajo

    Serikali ya mtaa imenilima faini ya elf 50, kisa sijafanya usafi

    Sema inaonekana we miyeyusho Sana kwaiyo kama nyumba ya urithi ndo hufyeki😅😅
  2. Isack Lusajo

    Zoezi la ukusanyaji wa taarifa za watu binafsi mitaani

    Sina uhakika Sana ila uku mtaani kwetu pia linafanyika zoezi kama ilo ila linatofautiana kidogo wenyewe wanakuwepo mahali halafu kila mjumbe anakusanya raia wake wakiwa na kitambulisho cha NIDA au mpiga Kura wanajaza form then wanapiga picha wanapewa Kadi za CCM.
  3. Isack Lusajo

    Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

    Mwisho wa Israel sio Leo wala Kesho bado Sana,hawa unaowaona wanaisaidia Israel wote wametajwa kwenye vitabu vya dini kuwa watasimama kwaajili ya kuitetea Israel na pia upo wakati ambao Israel atapigwa ila sio sasa mzee
  4. Isack Lusajo

    Sikutarajia Israel Wajibu kinyonge hivyo, wenda maombi yetu ya amani yamesaidia

    Unajua wengi wanaichukia Israel wakifananisha kama ni taifa linalopinga dini zingine nje na za kiyauhudi
  5. Isack Lusajo

    Naombeni ushauri wenu

    Logistics and Transport iko poa Sana Miami ndo naisomea
  6. Isack Lusajo

    NAJUTA SANA: Nilizaa nje ya ndoa, mke wangu haniamini tena. Natamani siku zirudi nyuma

    Haukutubu mbele za Mungu ndo maana aongea na Mungu yeye ndo mwenye uwezo wa kurudisha moyo wowt wa mwanamke,shida mnachukulia vitu normal san kosa unafany la uzinzi then unazani litaisha mwilini tu ,rohoni likisimam lanaua mahusiano ya mke na mume kwa nje unazan mpo sawa lkn ndan shetani...
  7. Isack Lusajo

    Wachungaji hadi lini mtavunja ndoa za watu?

    Sio kila mchungaji ameitwa na Mungu
  8. Isack Lusajo

    Ujumbe kutoka kwa mange kimambi

    Hawezi kuongea chochote kuhusu kupinga ushoga sabb yupo nchi za magharibi
  9. Isack Lusajo

    Baba mdogo anakula kitimoto hadharani

    kama huli usile cm cha muhm anakula pekee ake na alazimishi mtu mwacheni ale.na sio kitimoto ni mbuzi katoliki, mbuzi aliyeokoka amepitia ubatizo, kapitia kipaimara[emoji23][emoji23][emoji23]
  10. Isack Lusajo

    DOKEZO Waziri Mkenda, tuondolee huyu Mwalimu mlawiti hapa Mbeya, sasa inatosha!

    Mnavyomficha jina ni kama unamuheshimu mpuuzi uyo hastaili kuheshimiwa kwa kufichwa Jina lake
  11. Isack Lusajo

    Nimeumaliza mwendo kwenye haya mapenzi

    Stress zisikufanye umkosoe MUNGU acha ujinga
  12. Isack Lusajo

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Hii tutaendelea kuwa watumwa mpka tutakapo elewa kuwa uongozi ni kwaajili ya vijana na sio Wazee sababu thinking capacity ya mzee na kijana ipo tofauti ya mzee iko chini sana
  13. Isack Lusajo

    Katavi: Wanaume wanaogopa kuwawezesha kiuchumi wake zao wanaamini watakuwa jeuri

    Apo ndo inakuja maana halisi ya mke mwema hata iwe VP bado ata kuheshimu tu
Back
Top Bottom