Ujumbe kutoka kwa mange kimambi

Ujumbe kutoka kwa mange kimambi

Wewe utapata faida gani hawa vijana wakiozea jela?
Mbona mabasha na wasagaji hawaguswi?

Jela huko ndio kuna huduma wanayoitaka na huko jela ni kama marekani hiyo huduma inaruhusiwa kama ukitaka unafanyiwa tu hakuna tabu

Na wao wakikamatwa ndio watataja mabahasha zao
 
ā€œHey guys, Good News, Noel @noelgiotz na Kevin Events wameachiwa na wako huru sasa…. Na wengineo waliokuwa wanashikiliwa pia wameachiwa.
.
Watanzania ambao mnapinga ushoga ila mnataka zichukulie njia sahihi za kudili nna ushoga na sio kuwafanyia unyama hawa watanzania wenzetu basi tuendelee kupambana…
.
Ukisikia huko kijana yoyote kakamatwa na kufanyiwa unyama na polisi, tafadhali naomba unileteee jina lake kamili, picha na maelezo yote ya kesi yake niposti humu ili dunia ijue haki za binadamu zinavyokiukwa Tanzania sababu ya mihemko ya kisiasa.
.
Tupambane na chanzo cha tatizo na sio matokeo ya tatizo… Hawa vijana tumewazaaa wenyewe sisi wanawake kwanini tulishindwa kuwalinda ? Walifanyiwa unyama wakiwa watoto na leo sisi mama zao tunashadadia wafanyiwe tena unyama na serikali yetu. Hapana hii sio njia sahihi.
.
Serikali inawachukua vijana inaenda kuwabaka kwa vidole kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa madai ya kuwapima? Hiyo ni sexual assault, huo ni udhalilishaji, huo ni ukiukwaji wa haki za binadamu. Hivi unampanuaje binadamu mwenzio makalio kinguvu na kumwingizia vidole then udai unampima?? Kuna todauti gani kati ya mjomba aliemfanyia unyama huu akiwa mtoto na serikali inayomfanyia unyama huu ukubwani?? Hii haikubalikiiiiiii.
.
Dr. Janabi kweli unakubaliana na hili la madaktari wako hapo Muhimbili kuingizia vijana vidole kinguvu kwa madai ya kuwapima? Dr. Janabi wewe umesoma nje unazijua haki za binadamu, inakuwaje unaruhu hospitali unayoiongoza ifanyie watu unyama huu? Then next week utakuwa nchi za Magharibi huko unajiongelesha kwenye mikutano na wakati huku Africa unawabaka vijana wa kiTanzania kinguvu kwa madai ya kwamba unawapima kama ni mashoga. Next time ukienda kuomba Visa ujieleze kuwa unaongoza hospitali inayowaingilia vijana wa kitanzania kinguvu kwa vidole ili uisaidie polisi ku prove ni mashoga. Unachokifanya ni unyama na ukiukwaji wa haki za binadamuā€

NB: nimenukuu
šŸ‘‡šŸ‘‡
 
Mi sijui hata unaongea upumbavu gani, watu wanajizalilisha kuingiziwa mishedede, halafu unakuja kuwalalamikiwa kupimwa na vidole? Kana kwamba anayewapima anafaidi kuingiza hivyo vidole? Na wewe utakuwa shoga tu pumbavu, haki za binadamu ma S, very high level kf stupidity
 
Huyo Bibi ni mwehu, usimfuatishe akili zake., Utapotea!
Je wanaowaingilia watapimwaje mi naona nibutahiria hata ukiwafunga jela wote wanaoingiliwa ukawaacha wanaoingilia wenzao tatizo litabaki pale pale. Na watazalisha wanaoingiliwa wengine
 
Mange anaitikadi fulani hivi za kupenda ushoga na mashoga, yeye anaona kitu Cha kawaida mwanae Kenzo akiwa anapakuliwa mtaro kisa atasema alianza kupakuliwa akiwa mdogo kwa hio ni haki ya binadamu kuliwa kinye
Hajasema vibaya wewe hujamuelewa!
Nasemaje kila mtu alinde makalio yake baasi. Mtu ana miaka 18 plus kwa hiari yake anaamua kutoa kalio lake tena kwa siri siyo hadharani mm inanishughulisha nn sasa. Chamsingi ni kuwalinda miners /watoto
 
ā€œHey guys, Good News, Noel @noelgiotz na Kevin Events wameachiwa na wako huru sasa…. Na wengineo waliokuwa wanashikiliwa pia wameachiwa.
.
Watanzania ambao mnapinga ushoga ila mnataka zichukulie njia sahihi za kudili nna ushoga na sio kuwafanyia unyama hawa watanzania wenzetu basi tuendelee kupambana…
.
Ukisikia huko kijana yoyote kakamatwa na kufanyiwa unyama na polisi, tafadhali naomba unileteee jina lake kamili, picha na maelezo yote ya kesi yake niposti humu ili dunia ijue haki za binadamu zinavyokiukwa Tanzania sababu ya mihemko ya kisiasa.
.
Tupambane na chanzo cha tatizo na sio matokeo ya tatizo… Hawa vijana tumewazaaa wenyewe sisi wanawake kwanini tulishindwa kuwalinda ? Walifanyiwa unyama wakiwa watoto na leo sisi mama zao tunashadadia wafanyiwe tena unyama na serikali yetu. Hapana hii sio njia sahihi.
.
Serikali inawachukua vijana inaenda kuwabaka kwa vidole kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa madai ya kuwapima? Hiyo ni sexual assault, huo ni udhalilishaji, huo ni ukiukwaji wa haki za binadamu. Hivi unampanuaje binadamu mwenzio makalio kinguvu na kumwingizia vidole then udai unampima?? Kuna todauti gani kati ya mjomba aliemfanyia unyama huu akiwa mtoto na serikali inayomfanyia unyama huu ukubwani?? Hii haikubalikiiiiiii.
.
Dr. Janabi kweli unakubaliana na hili la madaktari wako hapo Muhimbili kuingizia vijana vidole kinguvu kwa madai ya kuwapima? Dr. Janabi wewe umesoma nje unazijua haki za binadamu, inakuwaje unaruhu hospitali unayoiongoza ifanyie watu unyama huu? Then next week utakuwa nchi za Magharibi huko unajiongelesha kwenye mikutano na wakati huku Africa unawabaka vijana wa kiTanzania kinguvu kwa madai ya kwamba unawapima kama ni mashoga. Next time ukienda kuomba Visa ujieleze kuwa unaongoza hospitali inayowaingilia vijana wa kitanzania kinguvu kwa vidole ili uisaidie polisi ku prove ni mashoga. Unachokifanya ni unyama na ukiukwaji wa haki za binadamuā€

NB: nimenukuu
Hawezi kuongea chochote kuhusu kupinga ushoga sabb yupo nchi za magharibi
 
Hajasema vibaya wewe hujamuelewa!
Nasemaje kila mtu alinde makalio yake baasi. Mtu ana miaka 18 plus kwa hiari yake anaamua kutoa kalio lake tena kwa siri siyo hadharani mm inanishughulisha nn sasa. Chamsingi ni kuwalinda miners /watoto
Sasa kama mzazi anatoa tako, mtoto wake itakuaje
 
ā€œHey guys, Good News, Noel @noelgiotz na Kevin Events wameachiwa na wako huru sasa…. Na wengineo waliokuwa wanashikiliwa pia wameachiwa.
.
Watanzania ambao mnapinga ushoga ila mnataka zichukulie njia sahihi za kudili nna ushoga na sio kuwafanyia unyama hawa watanzania wenzetu basi tuendelee kupambana…
.
Ukisikia huko kijana yoyote kakamatwa na kufanyiwa unyama na polisi, tafadhali naomba unileteee jina lake kamili, picha na maelezo yote ya kesi yake niposti humu ili dunia ijue haki za binadamu zinavyokiukwa Tanzania sababu ya mihemko ya kisiasa.
.
Tupambane na chanzo cha tatizo na sio matokeo ya tatizo… Hawa vijana tumewazaaa wenyewe sisi wanawake kwanini tulishindwa kuwalinda ? Walifanyiwa unyama wakiwa watoto na leo sisi mama zao tunashadadia wafanyiwe tena unyama na serikali yetu. Hapana hii sio njia sahihi.
.
Serikali inawachukua vijana inaenda kuwabaka kwa vidole kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa madai ya kuwapima? Hiyo ni sexual assault, huo ni udhalilishaji, huo ni ukiukwaji wa haki za binadamu. Hivi unampanuaje binadamu mwenzio makalio kinguvu na kumwingizia vidole then udai unampima?? Kuna todauti gani kati ya mjomba aliemfanyia unyama huu akiwa mtoto na serikali inayomfanyia unyama huu ukubwani?? Hii haikubalikiiiiiii.
.
Dr. Janabi kweli unakubaliana na hili la madaktari wako hapo Muhimbili kuingizia vijana vidole kinguvu kwa madai ya kuwapima? Dr. Janabi wewe umesoma nje unazijua haki za binadamu, inakuwaje unaruhu hospitali unayoiongoza ifanyie watu unyama huu? Then next week utakuwa nchi za Magharibi huko unajiongelesha kwenye mikutano na wakati huku Africa unawabaka vijana wa kiTanzania kinguvu kwa madai ya kwamba unawapima kama ni mashoga. Next time ukienda kuomba Visa ujieleze kuwa unaongoza hospitali inayowaingilia vijana wa kitanzania kinguvu kwa vidole ili uisaidie polisi ku prove ni mashoga. Unachokifanya ni unyama na ukiukwaji wa haki za binadamuā€

NB: nimenukuu
Huyu bibie amekosa maarifa, sana sana anatafuta kick ya kumtambulisha kama mwanaharakati wa Ushoga
Kwa mtu mwenye maarifa hawezi kukubaliana na Mange kuwa, kijana akifanya Kosa mfano Kuiba eti asifikishwe kwenye vyombo vya Sheria kwa kuwa alitakiwa kulelewa vizuri ajue wizi ni kitu kibaya? Shame!!!
 
Back
Top Bottom