hawa watu si wazalendo wala hawana nia ya kupeleka huo umeme vijijin ni siasa tuu hizo kwasababu wana mpango wa kuuza umeme nche ya nchi ifikapo 2014 . kumbe wanaweza kuupeleka nje lakin kupeleka vijijin ni tatizo.
I belive vampire walikuwepo n zombiez too ! Ukiperuz bout Vampire utapata jibu na aim yao kubwa ilikuwa damu hiyo ilikuwa miaka ya nyuma sana enzi za bibi zetu hakukuwa na Vampires but kulikuwa na Mumiani hawa nao walikamata watu usiku kuwatoa damu na kuwaua!
Nowdays yote hayo ni story lakin...
All in all sisi wote ni vijana tunaopenda maendeo it doesn't matter ni muhaya au laa ! Kitu cha msingi ni sis wenyewe kubadilika kama kuna ubaguz ufe na wazee wetu . Let's us build Tz isiyo na Ubaguz M4C can lead us to that ! God bless Tz God bless CDM
Ingekuwa ccm kungekuwa na mshafara wa madar 12 V8 watu 24 kusindikisa tena wanalipwa kwa DM kamawanavyodai ! Folen kisa msafara na wangetangwa TBC na wasingesimama nje ya fens hata kama hawana lamaana la kufanya white house
Wew ni maskin wa fikra ! Kikwete na mboye nan muhun ! Dr.Slaa anajitolea pia kukukomboa hata ww kutoka kwa mafisad wanakula nchi ? Kati ya CDM na CCM wap kuna viongoz makin !! Usipende kuropoka !
Everything katka muungano z negotiable mishahara,umeme n.k muungano hauna maana kwao sababu ya ufiisad mkubwa ktk serkal yetu ! Muungano ni muhum tuu kwa ccm sababu wanahitaji kura za wanzibar katika uchaguz system ya kupiga kura kwa upande wau rais wanzabar humchagua ccm coz kule hamna upinza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.