Wameenda kufanya nini??
Zitakuwa posho za mjengoni...Ingekuwa ni wabunge wa CCM wangehoji pesa wamezipata wapi.....haya....
Hakika Ni ni nyingi....Plus msaada kutoka kile chama chetu Ujerumani.Zitakuwa posho za mjengoni...
Lazima tuhoji kwani wao wako Chama tawala, inakuwa rahisi kuchota toka katika kodi za walalahoi, hata kama iwe ni safari ya kichama.Ingekuwa ni wabunge wa CCM wangehoji pesa wamezipata wapi.....haya....