CHADEMA yateka kusini - Soma hotuba yao

Elimu kwa wapiga kura ni dozi muhimu sana kwa chama makini. M4C ni mwelekeo sahihi wa kuikomboa nchi hii kwenye fikra mgando na watawala waliofikia kikomo chao.

M4C Twanga kote kote, Kusini hadi kaskazin, mashariki hadi magharibi na katikati. Hukuna kulala mpaka na Nape mwenyewe aelewe.
 
Pamoja sana wakuu. Makamanda kazi nzuri sana! Tz yote kwa upana, urefu na kina lazima ikombolewe. magamba waendelee na propaganda zao mfu, CDM waendelee kutoa elimu ya uraia na kunadi sera zao. 2015 ndio fainali, sio mbali kivile.
 
mboye unadhani watz hawajui kuwa wewe wewe ni mchuuzi , kweli mmiliki wa danguro awe rais wa nchi watz wanajua na ulimwengu unajua. Dr slaa analipwa mil 7.5m kwa mwezi. Akiwa rais atataka kulipwa 100m kwa mwezI kwa vile amekaa nje ya bunge kwa muda. Tamaa ,ukanda na uroho wa madaraka ndio sifa ya viongozi wa chadema. Maendeleo yaliyopo kusini sasa ni matokeo ya kazi ambao mtu mwenye akili timamu hawezi kubisha.

Wew ni maskin wa fikra ! Kikwete na mboye nan muhun ! Dr.Slaa anajitolea pia kukukomboa hata ww kutoka kwa mafisad wanakula nchi ? Kati ya CDM na CCM wap kuna viongoz makin !! Usipende kuropoka !
 
kuna jamaa kasema chadema hawakupata watu face buk, nadhani akiona picha hii ataumbuka vikali
 
Mkitoka huko ingieni mkoani Njombe, chomeni Ludewa kwa Deo, kunjueni makucha Mlangali, Lugarawa, pandeni Milo, telemka Ludewa mjini, rudi nyuma kidogo Mbwila na Mawengi, baada ya hapo mpandieni Makinda mitaa ya Njombe kusini. Mpaka kieleweke.
 
Natumaini movement for change inakwenda sambasamba na kuwahimiza watu kujitokeze kutoa maoni kwenye mchakato wa katiba mpya. Ikiwezekana wajue wanaenda kuhoji nini.
 
mboye unadhani watz hawajui kuwa wewe wewe ni mchuuzi , kweli mmiliki wa danguro awe rais wa nchi watz wanajua na ulimwengu unajua. Dr slaa analipwa mil 7.5m kwa mwezi. Akiwa rais atataka kulipwa 100m kwa mwezI kwa vile amekaa nje ya bunge kwa muda. Tamaa ,ukanda na uroho wa madaraka ndio sifa ya viongozi wa chadema. Maendeleo yaliyopo kusini sasa ni matokeo ya kazi ambao mtu mwenye akili timamu hawezi kubisha.

Kwani Mbowe anataka kuwa Raisi wa nchi gani?????????

Kwani ndivyo alivyotamka huko Mtwara wajameni!!!!!!

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Mbona unatoapovu sana??? Sijui unamaanisha Mbeya, Iringa, Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Rukwa, Mwanza, Dar na Mara yote ni kanda moja?? Kasome hata Jiografia ya darasa la 5 na itakufundisha!![/QU
Sio darasa la 5 mbali kote huko la tatu tu lafaa kujua hayo waache wahangaike hivyo hivyo.
 
mboye unadhani watz hawajui kuwa wewe wewe ni mchuuzi , kweli mmiliki wa danguro awe rais wa nchi watz wanajua na ulimwengu unajua. Dr slaa analipwa mil 7.5m kwa mwezi. Akiwa rais atataka kulipwa 100m kwa mwezI kwa vile amekaa nje ya bunge kwa muda. Tamaa ,ukanda na uroho wa madaraka ndio sifa ya viongozi wa chadema. Maendeleo yaliyopo kusini sasa ni matokeo ya kazi ambao mtu mwenye akili timamu hawezi kubisha.

Siyo vigumu kumtambua mtu aliyepagawa na nguvu za giza kiakili, kifikra na kiufahamu. Dalili zake ndo hizi hapa juu.
Tunaishi sasa tuna imani upofu utakutoka siku si nyingi.
 
Gud work guyz, Endeleezemi mapambano sisi tuko nyuma yenu kuwawezesha kifedha na kisaikolojia. (tunwaombea) natamani nikuwa mstari wenu... kibarua baba LOL

Yuko wapi yule aliyesema CDM haikubaliki kusini? NyinyiEM bye bye!!
 
mboye unadhani watz hawajui kuwa wewe wewe ni mchuuzi , kweli mmiliki wa danguro awe rais wa nchi watz wanajua na ulimwengu unajua. Dr slaa analipwa mil 7.5m kwa mwezi. Akiwa rais atataka kulipwa 100m kwa mwezI kwa vile amekaa nje ya bunge kwa muda. Tamaa ,ukanda na uroho wa madaraka ndio sifa ya viongozi wa chadema. Maendeleo yaliyopo kusini sasa ni matokeo ya kazi ambao mtu mwenye akili timamu hawezi kubisha.
wewe jamaa unadhani kusini kuna maendeleo yoyote nothing kabisa masikini wa kufa mtu..
 
mboye unadhani watz hawajui kuwa wewe wewe ni mchuuzi , kweli mmiliki wa danguro awe rais wa nchi watz wanajua na ulimwengu unajua. Dr slaa analipwa mil 7.5m kwa mwezi. Akiwa rais atataka kulipwa 100m kwa mwezI kwa vile amekaa nje ya bunge kwa muda. Tamaa ,ukanda na uroho wa madaraka ndio sifa ya viongozi wa chadema. Maendeleo yaliyopo kusini sasa ni matokeo ya kazi ambao mtu mwenye akili timamu hawezi kubisha.
pole sana,mwaka huu mtaukimbia nchi.anzeni kuoba hifazi ugaibuni.
 
mboye unadhani watz hawajui kuwa wewe wewe ni mchuuzi , kweli mmiliki wa danguro awe rais wa nchi watz wanajua na ulimwengu unajua. Dr slaa analipwa mil 7.5m kwa mwezi. Akiwa rais atataka kulipwa 100m kwa mwezI kwa vile amekaa nje ya bunge kwa muda. Tamaa ,ukanda na uroho wa madaraka ndio sifa ya viongozi wa chadema. Maendeleo yaliyopo kusini sasa ni matokeo ya kazi ambao mtu mwenye akili timamu hawezi kubisha.

Huwezi ukawa na akili timamu
 
Back
Top Bottom