Recent content by Iron SMTZ

  1. Iron SMTZ

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    Kama ni suala la picha za mama Abdul na lile jambazi Kwa Nini hazikuthibitiwa na mamlaka za Rais zisitoke? Umma ulizipataje? Kama ambavyo watu/platform zingine zilivyozipata hizo picha na hili jukwaa limezipata Kwa style hiyo hiyo, Kwa Nini watu wafungiwe kutoa maoni ndani ya nchi yao...
  2. Iron SMTZ

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    Duh, kazi kweli kweli
  3. Iron SMTZ

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe uhusiano wa Kikwete, Rostam, Ngeleja na Rweyemamu kwenye suala la DOWANS

    Hakika yalisemwa na kudhaniwa ndiyo yanayoendelea mpaka sasa
  4. Iron SMTZ

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Wadau wa hii simulizi ya kweli Leo nipo Addis Ababa Ethiopia nikisubiri ndege ya kuconnect back to my mother land Dar Tz nikitokea Bangkok , nimefikia hotel Moja inaitwa Swiss Inn Nexus Hotel, Hakika INSIDER MAN amewaelezea vizuri mabinti wa Kihabeshi, most of them wamejaaliwa sura na maumbile...
  5. Iron SMTZ

    JamiiForums Tanzania Falsafa ya uzembe wa kiroho: Mambo yanayoharibu maisha ya watu bila wenyewe kutambua mapema

    Uzi murua kabisa kwa tafakuri ya kina
  6. Iron SMTZ

    JamiiForums Tanzania T.R.A oral interview

    Vijana wetu watapata matokeo saa ngapi
  7. Iron SMTZ

    JamiiForums Tanzania T.R.A oral interview

    Story iendelee
  8. Iron SMTZ

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | Meja Generali Isamuhyo stadium | Ligi kuu NBC | 10.2.2025

    Bora angekuwepo Chasambi walau hata goli la kujifunga lingepatikana. Kamati ishauri huyu mwamba asajiliwe yanga
  9. Iron SMTZ

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | Meja Generali Isamuhyo stadium | Ligi kuu NBC | 10.2.2025

    Hili halikutazamiwa, iundwe kamati ya uchunguzi
  10. Iron SMTZ

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwana FA asema atagombea tena ubunge wa jimbo la Muheza

    Kwani Kuna mbunge ambae ameshatangaza kuwa hatagombea au kurudi tena? Hata wa viti maaulumu na wale wa nafasi 10 za kuteuliwa na Rais Wana matumaini ya kuendelea Tena, mwendo wa Mbowe style kutolewa kwenye box la kura aka kwa debe
  11. Iron SMTZ

    JamiiForums Tanzania Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!

    This is not the only principle to apply in marriage. Unaweza kuwa mbabe, jeuri na fedha zako na bado mwanamke akakuacha kwa 7bu anazozijua yeye. No matter how smart you are, that's not the key factor to controll marriage or relationship. Ndoa nyingi na mahusiano mengi kwa sasa yanavunjika kwa...
  12. Iron SMTZ

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Mbowe ni muongo, tulifanya kikao cha siri kwa siku 3. Alikataa nisigombee Urais na Uenyekiti huku yeye akisema hajaamua

    Kikubwa ni maslahi, na siyo kukipigania chama. Anaona akiwa mjumbe na mshauri ndani ya kamati kuu haitatosha kupigania maslahi yake.
  13. Iron SMTZ

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Mbowe ni muongo, tulifanya kikao cha siri kwa siku 3. Alikataa nisigombee Urais na Uenyekiti huku yeye akisema hajaamua

    Hili linaweza kuwa na ukweli mkubwa sana, kwani endapo asingegombea nafasi ya M/kiti kwenye nafasi ya makamu m/kiti tayari alikuwa ameandaliwa Wenje, nafasi ya raisi angeingia mwamba mwenyewe, kwa hiyo automatically TAL angekuwa NO BODY ndani ya chama na hilo pengine lingekuwa anguko lake la...
  14. Iron SMTZ

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

    Ukifikiria hoja zinazojengwa na FAM kwenye press pamoja na Wenje ktk interview yake jana nyingi si za kukijenga Chama Chao bali zinalenga kumwangusha TAL ktk uwanja wa siasa. Wemeruhusu DIVIDE & RULE tactic kukidhoofisha chama Chao.
Back
Top Bottom