T.R.A oral interview

T.R.A oral interview

Nimekumbuka nilipo hitimu form four nikaenda tuition kuanza masomo ya advance (physics na chemistry), hapo matokeo bado hayajatoka.
Sasa siku moja nikakutana na mkuu wangu wa O level kwenye hyo shule nilipokuwa naenda kusoma alinishangaa sana ....
Alinihidi kunisomesha advance endapo nitatoboa O level na gharama za tuition pia alinambia atalipa..., Mwenyezi mungu ampe malipo mema yule Madame.
Ulitoboa! Mbn unakatisha story?
 
Nilitoboa mzee...., nilichaguliwa PCB
 
Breaking news...

Matokeo ni jumamosi 26/4/2025
IMG-20250425-WA0064.jpg
 
Kuna haja kubwa ya kupaza sauti, taasisi zote za uma sahili zao zirudi psrs,... Mambo kama haya hakunaga kule utumishi
 
Back
Top Bottom