Recent content by IRIOKO

  1. IRIOKO

    Wagweno, Wasangi na Wachome wanasema kwao Moshi

    Hatuna nia kuwa tunawashobokea, halafU wewe inakuuma nn, haya kwetu Mwanga Klm umefurah sasa shuvee iii
  2. IRIOKO

    Kwanini Rais Samia akienda kijijni kwao anafikia hotelini?

    Unapajua huko lkn !!! ni mbali na mji, maendeleo bado sanaa.
  3. IRIOKO

    Jina la mwanangu limezua vita ya kifamilia

    Mwanaume ndie kiongozi wa Familia, Mwanajme ni dolla nyumban!
  4. IRIOKO

    NMB mnahujumu uchumi

    Pamoja na hilo NMB inahudumia watumishi wengi wa serikali, sasa kwa nn wasishushe riba kama inawapensa hao watumishi!! Jamaa wanapigaa sanaa
  5. IRIOKO

    NMB mnahujumu uchumi

    Tafuta fedba mahali fanya liquidation, then kakopenkwingine urudishe fedha ya watu
  6. IRIOKO

    Rocky City Mall Mwanza yageuzwa madarasa ya vyuo

    Mbona hamkusema Ngurudoto kuwa mabweni ya kulala wanagunzi, si bora hata hiyo!!!
  7. IRIOKO

    NMB walazimishwe kushusha riba zao za mikopo

    Market force ... hata usipate tabu pamoja na kiburi chao watashusha t, alternative ni kuwahama t, mbona zipo benki zenye unafuu
  8. IRIOKO

    Naomba kujua mshahara wa TGS D Ni sh.ngapi kwa mchumi daraja la II

    Pambana upate kazi kwanza hasa hicho kitengo mambo yote yanapitia sana hapo, serikalin hatuangalii mshahara tunachek magap na security if you know you know!!
  9. IRIOKO

    Rais Samia apandisha kiwango cha Posho ya Kujikimu ya Safari za Ndani ya Nchi na Malipo ya Kazi Maalum kwa Watumishi wa Umma

    Tuliaa tule mlo kamili wewe!! Muda wa Watumishi wa umma kunufaika umefikaa!!
  10. IRIOKO

    Updates za Mazao ya msimu wa 2022

    Kwa wadau watakao hitaji mazao kama mahindi, ufuta, mbaazi na soya na wako serious tuchekiane ... nipo mgodini kwa bei nafuu sanaa
  11. IRIOKO

    Kuna haja ya serikali kuichunguza hii bank wanayojiita DCB

    Aliyekuambia ina tawi moja nani? Dodoma PSSF Tower wapo pale, Dar wana branch zao, Singida pia. Kama kitu hakikunufaishi tena acha kukiponda kumbuka wakati kilipokunufaisha. Fata utaratib upewe akiba yako. Sio kana kwamba mimi ni mfanyakazi wala mteja wa hiyo benki ila nakukumbusha kwamba kitu...
  12. IRIOKO

    Kampuni ya ABOOD BUS Services ltd wanaibia abiria nauli kwa kejeli na matusi, nauli Moshi to Arusha tshs 5,000/=

    Sasa hapo huinj kwamba hao wafanyakazi wa kampuni walikua wanataka kutia pesa mfukoni kama hawataki kutoa tiketi ungewasilisha malalamiko kwenye namba za kampuni mbona zipo. Mabasi pia yana status zake usifananishe bei ya Coster na basi ambalo lina hadhi tofauti, hata bei ni tofauti
Back
Top Bottom