Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,846
Habarini Wadau,
Nimeishi sana maeneo ya Mwanga na Same. Watu wenye asili ya maeneo hayo wanaotafuta maisha au wanaosoma katika Mikoa au Majiji mengine huwa HAWAPENDI au HAWATAKI kusema hasa kuwa wanatokea maeneo hayo, hasa Mwanga.
Wengi ukiwauliza kwao wapi wanasema MOSHI pia wanapotoka Dsm au kwingineko kuelekea Mwanga au Same watakuambia wanaenda Moshi au kwao Moshi
Sasa hili lipo mpaka kwa Wanafunzi wadogo tu wanapoenda Dsm au Arusha hawataki kujinasibu kwa maeneo yao wanakotokea, hili sio jambo zuri
Waghono ni wana wa kenyi, sipendi mnavyofanya ndugu zangu
KINGINE, hata siku mkitembelea nyumbani hamkai kabisa zaidi ya siku moja 1 au 2 tena mkija msibani, hawa wazee mnaowaacha waliwakosea nini?