Kuna haja ya serikali kuichunguza hii bank wanayojiita DCB

cleokippo

JF-Expert Member
Dec 21, 2014
2,072
1,697
Nawasalimu kwa jina la JMT na kazi iendelee

nimekuwa mteja wa hii bank wanayojiita DCB kwa takribani mwaka wa 3 au 4 hv sasa, nilifungua akaunt hii nikiwa mkoani Morogoro kupitia kwa maafsa mikopo wao,

kwani nilikuwa ni mmoja kati ya wanufaika wa mikopo yao,

kwa kipindi chote cha miaka mitatu nilikuwa nakopa kwenye bank hiyo na kufanya marejesho bila usumbufu wa aina yeyote

Mkopo wangu wa mwisho nilichukua mwaka jana hatimaye mwaka huu nimeumaliza

leo hii nimehamishwa kikazi nipo mbali sana na morogoro ikabidi niombe wanipe form ili niweze kuchukua akiba yangu cha kuskitisha hawataki kunipa hiyo form eti mpaka afsa mikopo anione kwanza wakati wao pale morogoro wanamuwakilishi ambaye sisi ndio miaka yote huwa tunafanyakazi nae

sasa nashindwa kumuelewa afsa mikopo huyu lengo lake hasa nini la kunitoa mbali huku nilipo mpaka morogoro wakati wawakilishi wengine wa bank pale wapo na wao wananifahamu mimi vizuri kias kwamba wanaweza tu wakamuwasilisha

nimekuwa nikimpigia simu mara kwa mara kwamba nipate iyo form ili nichukue akiba yangu jibu lake haiwezekani mpaka anione

sasa hii kitu mimi inanitia mashaka sana na kuanza kuhis kama ni bank flani ya wapigaji sababu kwanini wamzuie mteja kuchukua akiba zake

kitu kingine kinachonitia mashaka bank haima ATM mashine, bank haina hata branch mkoa wowote

pesa wakikuingizia uzitoe kwa hawa mawakala wa mpesa tena kwa gharama za juu sana

sasa hawa jamaa si wapigaji? na hata sijui kama leseni yao waliipata kihalali toka kwenye mamlaka husika sababu mbona hawafuati kabisa miongozo ya BOT ?

kama kuna mtu wa DCB humu awasilishe haya malalamiko ya wateja ofisini maana wengine hatuna access ya kuwafikia viongozi wao huko juu

asanten nawasilisha!!
 
Una maana unataka kutoa hela Benki bila kwenda Benki.. Kama akaunti Yako hairuhusu kutoa pesa Kwa atm, ndugu huna Budi kwenda huko.
 
sihitaji kutoa pesa bila kwenda bank la hasha

yale marejesho niliyokuwa narejesha huwa kuna akiba flani nilikuwa najiwekea

sasa nimeshamaliza mikopo yao na sihitaji tena mkopo ispokuwa nilikuwa nahitaji wanipe form nijaze kwa ajili ya kuchukua zile akiba zangu nilizokuwa najiwekea ambazo hazipo kwenye akakunti yangu ila zipo kwao

sasa hao kunipa hiyo form ndio hawatak
 
Kwa hiyo wakupe fomu uijaze ukiwa huko mbali sana na Morogoro halafu upewe hela?

Wewe ungekuwa ni mfanyakazi wa hiyo taasisi ungeruhusu hilo lifanyie kirahisi hivyo?

Tuseme wewe ni muhasibu ungeruhusu kumlipa mtu usiyemuona?
 
wao wapo dar! pale moro kuna wawakilishi wao ambao sisi ndio tulikuwa tunafanya nao kazi

na mikopo yote niliyokuwa nachukua ilikuwa inapitia kwa wale wawakilishi wa morogoro ambao kimsingi wananifaham na wanauwezo wa kuwathibitishia kuwa mteja ninayetaka kuchukua akiba kweli ni mimi

sasa kuna haja gani hapo ya kuonana na uyo afsa yeye yupo dar na sio moro?

na mbona waliweza kunikopesha kupitia hao wawakilishi wao wa moro sasa iweje kwenye kuchukua akiba yangu washindwe kuwaamini wale wawakilishi wao wa moro?
 
Ikitoka hyo pesa wakati haupo halafu baadae ukiwageuka je?

Vitu vya kiprofesheni haviendi kwa kufahamiana bila kuwa na documentation mkuu
 
wao wapo dar! pale moro kuna wawakilishi wao ambao sisi ndio tulikuwa tunafanya nao kazi

na mikopo yote niliyokuwa nachukua ilikuwa inapitia kwa wale wawakilishi wa morogoro ambao kimsingi wananifaham na wanauwezo wa kuwathibitishia kuwa mteja ninayetaka kuchukua akiba kweli ni mimi

sasa kuna haja gani hapo ya kuonana na uyo afsa yeye yupo dar na sio moro?

na mbona waliweza kunikopesha kupitia hao wawakilishi wao wa moro sasa iweje kwenye kuchukua akiba yangu washindwe kuwaamini wale wawakilishi wao wa moro?
Fuata utaratibu bhana. Ubishi hautakusaidia kuipata hiyo hela yako. Rudi Dar, kachukue hiyo fomu, jaza! Chukua mzigo, rudi zako Moro kuendelea na mishe zako.
 
Una maana unataka kutoa hela Benki bila kwenda Benki.. Kama akaunti Yako hairuhusu kutoa pesa Kwa atm, ndugu huna Budi kwenda huko.
We jamaa ni Boya sana kwanza nani alikwambia ukope, pili kuwa na akili ya kujiongeza mtoe huyo jamaa ata 10 ubahili wa namna gani uwo amanyo sijawahi kuona, nani alikwambia kuna cha bure duniani Tuishi kwa akili basi.
 
Hizo hasira umekuja nazo toka wapi?ndugu si usome uzi uelewe Sasa Ona unamshambulia mtazamaji Kama ww
 
Nawasalimu kwa jina la JMT na kazi iendelee

nimekuwa mteja wa hii bank wanayojiita DCB kwa takribani mwaka wa 3 au 4 hv sasa, nilifungua akaunt hii nikiwa mkoani Morogoro kupitia kwa maafsa mikopo wao,

kwani nilikuwa ni mmoja kati ya wanufaika wa mikopo yao,

kwa kipindi chote cha miaka mitatu nilikuwa nakopa kwenye bank hiyo na kufanya marejesho bila usumbufu wa aina yeyote

Mkopo wangu wa mwisho nilichukua mwaka jana hatimaye mwaka huu nimeumaliza

leo hii nimehamishwa kikazi nipo mbali sana na morogoro ikabidi niombe wanipe form ili niweze kuchukua akiba yangu cha kuskitisha hawataki kunipa hiyo form eti mpaka afsa mikopo anione kwanza wakati wao pale morogoro wanamuwakilishi ambaye sisi ndio miaka yote huwa tunafanyakazi nae

sasa nashindwa kumuelewa afsa mikopo huyu lengo lake hasa nini la kunitoa mbali huku nilipo mpaka morogoro wakati wawakilishi wengine wa bank pale wapo na wao wananifahamu mimi vizuri kias kwamba wanaweza tu wakamuwasilisha

nimekuwa nikimpigia simu mara kwa mara kwamba nipate iyo form ili nichukue akiba yangu jibu lake haiwezekani mpaka anione

sasa hii kitu mimi inanitia mashaka sana na kuanza kuhis kama ni bank flani ya wapigaji sababu kwanini wamzuie mteja kuchukua akiba zake

kitu kingine kinachonitia mashaka bank haima ATM mashine, bank haina hata branch mkoa wowote

pesa wakikuingizia uzitoe kwa hawa mawakala wa mpesa tena kwa gharama za juu sana

sasa hawa jamaa si wapigaji? na hata sijui kama leseni yao waliipata kihalali toka kwenye mamlaka husika sababu mbona hawafuati kabisa miongozo ya BOT ?

kama kuna mtu wa DCB humu awasilishe haya malalamiko ya wateja ofisini maana wengine hatuna access ya kuwafikia viongozi wao huko juu

asanten nawasilisha!!
Aliyekuambia ina tawi moja nani? Dodoma PSSF Tower wapo pale, Dar wana branch zao, Singida pia. Kama kitu hakikunufaishi tena acha kukiponda kumbuka wakati kilipokunufaisha. Fata utaratib upewe akiba yako. Sio kana kwamba mimi ni mfanyakazi wala mteja wa hiyo benki ila nakukumbusha kwamba kitu kama huna faida nacho kwa mda fulani acha kukiponda
 
Tuanze kwanza hapa
Afisa mikopo ni KE au ME ili tujue tunakusaidiaje?
 
sihitaji kutoa pesa bila kwenda bank la hasha

yale marejesho niliyokuwa narejesha huwa kuna akiba flani nilikuwa najiwekea

sasa nimeshamaliza mikopo yao na sihitaji tena mkopo ispokuwa nilikuwa nahitaji wanipe form nijaze kwa ajili ya kuchukua zile akiba zangu nilizokuwa najiwekea ambazo hazipo kwenye akakunti yangu ila zipo kwao

sasa hao kunipa hiyo form ndio hawatak
Ndani ya Benki tena kuna watu wanakutunzia hela zako zaidi ya akaunti yako? Yet Serikali ifanye uchunguzi? Labda Serikali ya wanafunzi Wa shule msingi.
 
Dar Morogoro ni Massa manne na ukishuka Mbezi mwendokasi Hadi sijui usalama Chai, unaiona DCB hq, inamfuata huyo afisa mikopo na maboss wake. Humu hutopata suluhu!
 
Back
Top Bottom