Mh Makonda hajafanya kosa lolote la kisheria au kimaadili katika hio picha, ukizingatia aliipiga ata kabla Mama Sami hajaapishwa.!
huyu makonda ni mchapakazi mzuri ukilinganisha na umri wake, tatizo ni watu wachache wasio na bahati maishani mwao, na hawataki kujishughulisha ndio wanajitaidi...
Kama ingekua rahisi ivo, mbona kufika kwake hospitali hakujawafanya wagonjwa wapone??
ku support michezo sio kushangilia michezo! ku support michezo ni kutengeneza mazingira ya kuboresha viwanja, kuibua vipaji na kuving'alisha, kutengeneza pato la taifa kutokana na michezo, kutengeneza ajira...
Sio siri kuwa mzalendo ni kitu kizuri, ila lazima kuwe na vipaumbele katika uzalendo. Si busara kua mzalendo katika kila kitu eti kwakua kimefanywa na wazawa.!
Katika uchumi kuna kitu kinaitwa "Scale of Preference" na kingine "Opportunity Cost".
Sidhani kama mapema hii Jembe lingepelekwa...
Mzee wa "Mama Tanzania" mara "Damu za Watanzania" na vitisho kibao.!
Mbatia ni mzuri,Shida anahongwa kiraisi, na akishahongwa anabwabwaja niaje!
Hafai ata kua Mkuu wa Shule.
Ni kweli ni biashara halali, ila utoaji wa leseni utabadilishwa. sio kila sehemu unaweza kufanya biashara yoyote.
Kila leseni ina masharti yake, wenda shariti la kutofanya biashara ya madawa katika eneo la mita kazaa karibu na hospitali litaongezwa.
#hapakazitu
We ni Nyumbu tu, maana unauliza maswali ya kinyumbunyumbu.
sasa nakushauri, Watu walibeba twiga hatukuona wanashtakiwa au kuhukumiwa, sasa na wewe nenda mbuga za wanyama ukabebe swala, tuone itakuaje...
Kwanini mnapenda kujilinganisha na watu wenye mamlaka?
Life is not fair siku zote, ndo...
Katiba ya Tanzania inamruhusu Raisi kuingilia na kufanya kazi za wizara yoyote ata kama Waziri husika yupo madarakani.
Raisi ndio kiranja mkuu kama ulikua haujui!
Siku nyingne uwe unapitia Sheria kabla ya kuja umu kubwabwaja.
Nyumbu wewe..!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.