IQ Warehouse
Senior Member
- Apr 21, 2014
- 136
- 53
Naamini mtu yeyote msomi na aliyepitia vidato atakua ameelewa kichwa cha habari kabla hata ya kuanza kusoma ujumbe.Ni ukweli usiopingika kua sasa serikari inayoundwa na CCM itaitaji ustaimilivu katika kipindi iki cha mpito bada ya kubadili mfumo.
Ni ukweli usiopingika kua maprezda wa Tz wote waliopita kwanzia awamu ya kwanza mpaka ya nne walikua wana "Art" yaani sanaa.
Mungu sio Athmani, bila kujua CCM ao ao wamebadilisha na kutuwekea mteule Mwana Sayansi.!
Kwa mujibu wa Wikipedia,Sanaa ni ufundi unaoutumia mwanadamu ili kuwasilisha fikra au mawazo yaliyo ndani ya akili yake.Sayansi ni maarifa yanayopatikana kwa kufanya vitendo, kutazama na kujaribu kweli zilizo bainishwa pasi kuthibitishwa.
Kama kweli fani umjenga mtu kwanzia jinsi anavofikilia adi kutenda, ni ukweli husiopingika kua serikali ya awamu ya tano itakua tofauti sana na serikali zote nne zilizopita.
Tayari raia wameingiwa na sintofahamu kuhusiana na Fikra za Mteule wao na Maamuzi yote aliokwisha kuyafanya Mteule uyu ndani ya siku izi chache.
Amini, husiamini , Mfumo wa serikali ushabadilika na CCM washaanza kuisoma namba.