Recent content by Iphone 8 plus

  1. Iphone 8 plus

    Mvua zimenyesha sana,makinikia zimepanda being.

    NJOO HUKU KIMBOKA BADO BEI NI HILE HILE YA KIPINDI CHA JOTO. NIMETOKA KUPIGA MZIGO NIPO FRESH KABISA.
  2. Iphone 8 plus

    Ushauri: Nimempa mimba mwanafunzi wa kidato cha tatu

    Subiria safari ya Segerea , ukakutane na vidume wenzako
  3. Iphone 8 plus

    Janga kubwa linawanyemelea wa Tz kwenye mapenzi/mahusiano

    Ahsante mkuu, ....hali imekuwa tete siku hizi. Vijana awana maajabu kabisa
  4. Iphone 8 plus

    Janga kubwa linawanyemelea wa Tz kwenye mapenzi/mahusiano

    Mimi ni muhanga wa hilo tatizo na nipo tayari kufuata ushauri wowote wa kimatibabu ili mradi nipone tu. Maana hii hali sasa hivi imekuwa mbaya sana. ......PS:- mwenye tiba Asilia na ya uhakika ani PM tafadhali. Wahenga walisema mficha uchi azai na mficha maradhi kifo kitamuumbua.
  5. Iphone 8 plus

    Janga kubwa linawanyemelea wa Tz kwenye mapenzi/mahusiano

    Chaajabu sasa hao Vijana wanaobisha ujinga bila sababu maalumu ndio hao hao wahanga/wabovu wa nguvu za kiume Wanagongewa mademu zao kila siku..
  6. Iphone 8 plus

    Uwepo wa mabinti wa Mama Salma Kikwete vyuoni ilikuwa danganya toto?

    Wewe ulikuwa muoga tu, mbona mimi nitembea na takribani mabinti 4 ambao wanasemwa ni wa mama salima JK. Na nilipima UKIMWI zaidi ya mara 4 Nashukuru nipo salama tu. Nilianza UDSM 2009 TO 2012
  7. Iphone 8 plus

    Iphone 8 na 8+ yakumbwa na kizaa zaa kilichoikumba Samsung Note 7

    Ila kumbuka kama itakuwa umenunua super Angent una badilishiwa au unarudishiwa pesa yako, maana wao wanazirudisha
  8. Iphone 8 plus

    Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

    Naitaji site za Ku download indian Series na movie, mwenye kuzijua anifahamishe tafadhali
  9. Iphone 8 plus

    Kwanini vijana wengi siku hizi wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja?Mchawi ni nani?

    Kama ni Shoga nipe namba yake mkuu,nimuonyeshe kazi inavyofanywa
  10. Iphone 8 plus

    Tushirikishe best song kutoka kwenye playlist yako

    Russian roulette -Rihanna, You know me - 2pistol feat Ray J, 16@War - Karina Pa sian, Moving Mountain - Usher Raymond, Die for you - Chris brown.... And more.
  11. Iphone 8 plus

    Msaada kwa anayefahamu kustream DStv online

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  12. Iphone 8 plus

    Hivi ni kweli?

    Ndio hizi Habari ni za kweliii tupu.
  13. Iphone 8 plus

    Natafuta mwenza

    Njoo pm Sent from my SM-A300H using JamiiForums mobile app
  14. Iphone 8 plus

    Huu ndiyo Upumbavu wa Wanawake wa Kileo; tuwachane..

    Wanapenda sana kujitongozesha kwa mashemeji zao.
Back
Top Bottom