shukrani mzee wetu mohamed said kwa kisa iki kizuri...ila mimi nina swali kidogo kuhusu wale watu 17 walioaisisi TANU 1954...yule S.M kitwana ni baba wa kitwana Kondo aliyepata kuwa meya wa Dar es Salaam? na iyo S.M kirefu chake ni nini? maana nimekua nikiona picha mitandaon lakin jina naliona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.