Recent content by INVOCAVIT

  1. INVOCAVIT

    JamiiForums Tanzania Jambo gani baya umewahi kumfanyia mpenzi wako na utajutia milele?

    Kuapa sitomwacha maishani. ...... , ila Sasa nimeamini jambo muhimu ni kujitahidi tu kutoacha na siyo kuahidi kiapo Cha mambo yajayo. 🙃🤔Haloo ! Life changes.
  2. INVOCAVIT

    JamiiForums Tanzania Jambo Gani baya hutaki kulifanya 2024+

    2024 nitaacha kabisa matumizi yasiyo ya Lazima ya pesa na tabia ya kutokuweka AKIBA nitaacha nayo. ........maana natabiri kuwa naelekeza katika mwaka mpya mzuri wa Kiuchumi.
  3. INVOCAVIT

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mwenye kazi na kipato kizuri

    Daah! Nusu kweli nusu mmh! NO. Kwani mkuu, inaposemwa 'Elimu ni msingi wa maendeleo' kwa kika mtu, mkeo akiwa na elimu nzuri (hata kukuzidi), si jambo la kushukuru Mungu!? Kwamba umeimarisha msingi wa maendeleo yenu.
  4. INVOCAVIT

    JamiiForums Tanzania Hadithi: Mfalme Kima ambumunda shetani mfupa mweupe

    Daah! Vinapatikana siku hizi kaka? Natamani nikisome.
  5. INVOCAVIT

    JamiiForums Tanzania Hadithi: Mfalme Kima ambumunda shetani mfupa mweupe

    Duuh! NAMI NIMEIPENDA SANA. Nasikitika sijawahi kuisoma.
  6. INVOCAVIT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania President Uhuru Kenyatta in military uniform - PHOTOS

    Ni viongozi wangapi wa dunia waliowahi kuvaa RUBEGA za kiMasai,kuruka kimasai na kupiga nazo picha!? Si wako wengi tu!? Je,Waliporudi makwao walisemwa? Majuzi J.K kavalishwa kimila na kupewa heshima ya uChifu somewhere huko bush. =>Mbona hamkusema kaleta ukabila? *Kaka eeeh! Big up!*...
  7. INVOCAVIT

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua historia ya Bagamoyo

    Kaburi la Shariff-1200s (karne ya 13) lililo katika masalia ya mji wa kale wa Kaole. Mita chache kutoka lilipo kaburi hili kuna KISIMA CHA MAAJABU (Chadaiwa ni cha Shariff-mke); =>Kina maji matamu, yasiyo na chumvi licha ya kuwa kando ya bahari. =>Maji hayapungui hata mchote vipi...
  8. INVOCAVIT

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua historia ya Bagamoyo

    2.KABURI LA WAPENDANAO Inasimuliwa hivi; ..Wapendanao fulani,mume na mke walipatwa na dhoruba baharini. =>Walipojua hawatasalimika waliamua kujifunga kamba pamoja ili wakifa maji,mizoga yao iokotwe pamoja ufuoni. =>Maskini! Kweli walipokufa kwa maji, mizoga yao iliokotwa pwani ya jiji la kale...
  9. INVOCAVIT

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua historia ya Bagamoyo

    NITAKUSAIDIA. Baada ya mimi na wanafunzi wangu kwenda Bagamoyo tar30Aug.2014 nilijifunza haya; 1.KABURI LA MAIFU =>Ieleweke kuwa lile si kaburi la Shariff bali la Maiff(mwanamke mwenye karama kama Shariff) *nisamehewe ikiwa nimekosea jina Maiff* =>Mjini Kaole(1200s) maji yote yalikuwa ya...
  10. INVOCAVIT

    JamiiForums Tanzania Kalamu ilivyomtoa Reginald Mengi {tajiri namba mbili Tanzania}

    Ndg unashangaza! Nahisi una chuki binafsi. Haipatani na akili kusema eti Mengi kaidhulumu NBC na wakamwacha. (POINTLESS). Labda useme kakopeshwa kiasi hicho (Hata ikiwa hivyo,kwani ni kosa kwa milionea kukopa?) Tazama hiyo bl 28 ni ndogo sana kwa Mengi mwenye utajiri wa over Tsh bl 880...
  11. INVOCAVIT

    JamiiForums Tanzania Maiti iliyozikwa miaka 700 iliyopita yagunduliwa China ikiwa haijaoza

    Hongera kaka kwa kuwa na uelewa wa mambo ya kweli kama haya. Wengi hapa nashangaa wanafanya ubishi. Ni vema kunyamaza kwa jambo nisilolijua kuliko kubisha tu bila mashiko.
  12. INVOCAVIT

    JamiiForums Tanzania British couple to sue Tanzania over farm deal that 'ended in death threats'

    Kwani katiba inasemaje kuhusu umiliki ardhi kwa wageni?. NADHANI HAWARUHUSIWI KUNUNUA BALI KUKODI TU. Lazima tuoneshe msimamo thabiti wa kupigania rasilimali zetu. HONGERA Bw. Benjamen MENGI(Wewe ni MZALENDO WA KWELI).
Back
Top Bottom