Recent content by Invinsible

  1. Invinsible

    JamiiForums Tanzania Hebu tukumbushane tulivyosalimika katikati ya kundi la vibaka

    duuh
  2. Invinsible

    JamiiForums Tanzania Naomba tofauti kati ya MP3 VS MP4

    Naombeni tofauti ya MP3 na MP4 unapotaka kudownload nyimbo kwenye simu ipi ni bora? Na kwanini?
  3. Invinsible

    JamiiForums Tanzania Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

    [emoji848][emoji848][emoji848]
  4. Invinsible

    JamiiForums Tanzania Kuunganishiwa separate mita ya umeme nyumba za kupanga

    hiyo hapo (mfano)
  5. Invinsible

    JamiiForums Tanzania Kuunganishiwa separate mita ya umeme nyumba za kupanga

    nenda posta kisutu pale kuna duka kubwa la vifaa vya umeme tronic utazipata, 200K
  6. Invinsible

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa milioni 3 unatosha kufungua duka la dawa?

    Hiyo namba moja, unaweza ambiwa onesha shamba lako
  7. Invinsible

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kiwandani

    sayona
  8. Invinsible

    JamiiForums Tanzania Moja ya kinywaji laini (soft drinks) kinachopendwa Bongo Pepsi inaongoza

    Iko hivii, kwanini pepsi inapendwa sana siku hizi kuliko vinywaji vingine vya cocacola kama zamani zilivyokua zinapendwa. Tatizo lilianzia kwenye bei, kuna kipindi soda za coca zilipandisha bei mpaka miasita 600, na pepsi pia,,, lakini pepsi akaona fursa kwa watu baada ya kuona hawakupendezwa na...
  9. Invinsible

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kiwandani

    nilifanya kazi kiwandani kama kibarua ili nipate connection ya kufika juu nipeleke makaratasi yangu ili iwe rahisi kupewa kwa sababu nimeanza chini na ni mfanyakazi wao, mamaee nilisota miezi 6, bila mafanikio, kazi ngumu hatari, ukilala siku moja hela huna, unajitahidi ufanye kazi hadi overtime...
  10. Invinsible

  11. Invinsible

    JamiiForums Tanzania Hivi atakuja tokea mwanamuziki zama hizi wa RnB kama Celine Dion

    eti kundi[emoji23]humu kuna watoto hawajui mziki, ila wanajitutumua kujifanya nao wakongwe[emoji23][emoji23]
  12. Invinsible

    JamiiForums Tanzania Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

    Malizia hadithi hiyo
Back
Top Bottom