NK imetengwa na Jumuiya ya Kimataifa a.k.a Marekani, Ulaya na washirika wao na Taasisi zao za Kifedha kama IMF, World Bank n.k. Nchi kama China, Urusi, Irani na nyingine zina misimamo yao tofauti na hiyo Jumuiya ya Magharibi. Hivyo huwa zinashirikiana kati yao, kama hivyo NK na China, Iran na...