Recent content by invictus

  1. I

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Na hiyo TIN ni kwa ajili ya nini?
  2. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  3. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namtamani rafiki wa mke wangu

    Acha uongo
  4. I

    JamiiForums Tanzania Serikali yasema hii si mara ya kwanza kwa Tanzania kuwa na utaratibu wa kukagua magari yanayoagizwa nje ya nchi

    Kwani ukiagiza gari, likafanyiwa inspection Japan, likawa na tatizo, huwa linaletwa hivyohivyo bila kurekebishwa au huwa wanarekebisha kule kule kabla ya kulileta bongo?
  5. I

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza amani ya nafsi, nairejeshaje?

    Isamehe nafsi yako! Kila mtu ni mkosaji, na wapo wanaokosea zaidi ya hapo. Uzuri ni kuwa umeona ulipokosea na umejutia, kitu ambacho chaonesha bado hujapoteza utu wako. Tubu kwa Muumba wako, halafu jipe msamaha mwenyewe! Na next time ukikutana na tukio kama hilo ufanye tofauti na ilivyokuwa...
  6. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niko njia panda, ushauri tafadhali

    Acha undezi weweee, check video hzo
  7. I

    JamiiForums Tanzania Safari ya Kwenda Mayotte: Mjuzi wa Kifaransa anahitajika

    Search app yaitwa Duolingo
  8. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Wewe nawe learner kweli! Uteute wa K ni maji kwani? Ule ni UTE, sio maji (H2O)! Elasticity yake, thickness na hata feel yake ni tofauti kabisa na maji, hivyo lazima utaona tofauti. Nyie ndo wale msiowaandaa madem zenu nyie, mko ka kuku mwapanda na kushuka! At least kupitia story za JF mtajifunza!
  9. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    [emoji23][emoji23][emoji23] Hebu nenda jikoni ukafanye experiment huko
  10. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    KULA KIMASIHARA TUNDA KWENYE MAJI BEACH Weekend flan hv niliamua kwenda beach kuyaoga na kupunga upepo. Katika suala la kuogelea huwa niko vizuri sana, hivyo nlikuwa naogelea hadi ndani mbali kabisa mwenyewe bila hata boya. Siku hiyo beach ilikuwa imejaa watoto wa chuo kibao, kila kona wamejaa...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Njia za uhakika za kufanya biashara mtandaoni ili kuongeza kipato

    Hebu tupe link husika mkuu
  12. I

    JamiiForums Tanzania Ushauri kati ya jiko la umeme vs gesi

    [emoji1][emoji1][emoji1] Mkuu umenikumbusha mbali sana. Ngararumu haziivi kwa gas/umeme kabisaa
  13. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    [emoji1][emoji1] Wazee wa grammar bana! What if nlitaka kusema 'all day long'? Halafu, hiyo 'whole day' yako mbona umesahau 'the' mwanzoni hapo? Punguza povu babu! Hiyo code switching tu, acha kuleta mambo ya prescriptivism kwenye hadithi za kula tunda kimasihara! Eboo!
Back
Top Bottom