Kwahyo kiongozi form four inahusiana vp na utekwaji nyara .
Lakini haya maswala ya utekaji mbona yanazidi kushamiri kila uchwao na mamlaka husika zimekaa kimya hakuna waziri Wa mambo ya ndani kuonesha kuguswa wala maoni where we are going us a country.
Wenzetu Europe wametuacha mbali sana. Sisi muda wote kufikiria kugegedana tu na kuhofia kuwa na vibania hivi hujiulizi Mungu ameumba wanaadam ktk makundi tofauti kuna weupe, weusi , warefu n.k
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.