Recent content by interprevist

  1. I

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Arusha aropoka mei mosi

    Du siamini kama ni kweli amethubutu kufunguka namna hiyo. Naona Mungu anazidi kuweka madudu ya watawala hadharani. Waandishi wahabari mmeambiwa sasa acheni kumuumbua muone mtakavyobaki bila kucha, meno, na macho. chezea usalama wa taifa wewe
  2. I

    JamiiForums Tanzania Mh.Elizer machangu umetumwa na nani?

    mbunge Bety Changu mziki wa lema utauweza? usitafute kupararuliwa bure
  3. I

    JamiiForums Tanzania Picha: Nassari akiwa na Lema kituo kikuu cha Polisi, Arusha

    Wao wana dola sisi tuna Mungu, Ipo siku udhalimu wa watawala utashindwa na Mungu atajiinua.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya rufaa yatupilia mbali Rufaa ya Kupinga ushindi dhidi ya Lema!!

    hongereni wanachadema, hongereni wananchi. huu ni ushindi wa wapenda mabadiliko wote
  5. I

    JamiiForums Tanzania CHADEMA MMefungua NJIA!

    Kama hauamini kwamba tutashinda hasi hautufai. ondoa propaganda hapa jamvini
  6. I

    JamiiForums Tanzania TCU: Darasa la saba sasa kujiunga na chuo kikuu moja kwa moja

    Namsubiri Livingstone Lusinde nimle kichwa.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Bunge Lisirushe Matangazo yake 'LIVE' - Nape

    Kweli kwa maneno haya ni dhahiri kuwa NAPE anaanza kuchanganyikiwa. anakuja na hoja mpya kabisa, mwanzoni walituambia kwamba wanataka kuchakachua habari za bunge kwa sababu wabunge wanafanya fujo na kujenga twasira mbaya ya chombo hicho kwa wananchi. leo Nape anatuambia kwamba wananchi huwa...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya usalama acheni propaganda, Sheikh Farid mlimteka kweli, ushahid huu hapa...

    Huyo Shehe kajichanganya mwenyewe. Kwanza alisema kuwa alifunikwa uso. Sasa kama alifunikwa uso hivyo vitambulisho vya wana usalama aliwezaje kuvigundua. hapa kuna mswali mengi kwa shehe
  9. I

    JamiiForums Tanzania Hivi Itakuwaje CHADEMA ikichukua Nchi?

    tegemea maendeleo endelevu
  10. I

    JamiiForums Tanzania Picha: Ziara ya Nape mkoani Kilimanjaro

    Watu wa Kilimanjaro naomba wamhoji nape anazisemeaje kauli zake hatari za kibaguzi zenye misingi ya ukanda na ukabila. aliwahi kusema chadema ni chama cha wachaga. Sasa aulizwe ana kauli gani kuhusu sera zake hizo za kuwabagua wachaga. Ni lazima abanwe. anawaambiaje wachaga walioko CCM? Je...
  11. I

    JamiiForums Tanzania 'Uchochezi' wa CHADEMA umefikia kubaya...

    mkuu naona hapa umekurupuka. nahisi hujaelewa hiii thread na ujumbe uliopo. jamaa kaandika kifalsa zaidi. usije ukajikkuta wewe ndio mvivu wa kufikiri na hata kuelewa.
  12. I

    JamiiForums Tanzania Tatizo: Sisimamishi uume toka form 2

    yeah sure mate. make appointment with your Dr. I feel sorry for how you are going through
  13. I

    JamiiForums Tanzania Mbowe aanza ziara kuongoza kampeni za udiwani Kanda ya Kusini.

    Good strategy.
  14. I

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mimba jamani

    We unachoogopa ni kumpa mimba, mbona huogopi kama umeambukizwa ngoma? anza kujiandaa kula ARVs
  15. I

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe 'amwaga Sumu' Kamati ya Mahesabu ya Mashirika ya Umma

    huwezi kutenganisha mafanikio yake na viongozi wake
Back
Top Bottom