Leo katika mjadala ulioibuka katika bunge la Katiba kuhusu usawa kijinsia ambapo baadhi ya wajumbe wametaka iwapo mwenyekiti anakua mwanaume basi makamu wake awe mwanamke ambacho kimeonekana kukiuka kanuni za kisheria kutokana na "determining factor" kuwa ni utanganyika au uzanzibari.
Katika...
Ni Raisi Jose Mujica wa Uruguay. Hutoa 90% ya mshahara wake kwa wasiojiweza, kitu pekee cha thamani anacho miliki ni Volkswagen Beetle, hana akaunti ya benki wala madeni, yeye na mkewe wanakaa kijijini Montevideo. Ameweka rekodi ya kuwa na serikali isiyo na rushwa. Kikubwa zaidi anafurahia...
How is this going to be useful while you Orestes Sotta and your fellow Recruiters are Selling such vacancies and couching the interviewees of your choice?
Mimi sidhani kama ile speech ina element za chuki ndani yake rather ilikua inakumbusha the reality of the struggles against the Apartheid Regime na kuwaweka "Boers" at their place considering the fact that some of the people who identified themselves as "Boers" attended the burial (De Clerk na...
Mtu wa Shamba, hebu jaribu kusoma hii link kisha usiwe na hiana kufuta usemi ikibidi lakini
U.S. and Britain Alliance: U.S. Foreign Policy and the Anglo-American Special Relationship
Mwanaukweli, hebu jaribu kusoma hii link halafu usione tabu kufuta usemi ikibidi!
http://www.heritage.org/research/reports/2013/07/britain-and-the-us-two-peoples-united-by-an-attachment-to-self-determination
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, hii phrase haina makosa "peoples" ni neno linalojumuisha kundi la watu na katika statement JK alikua ana refer Uma wa watz na wamarekani kwa ujumla!
Usijaribu kupotosha!
Tanzanian govt fails to collect a half of the telecommunication revenues that Rwanda collects and the total population of Rwanda resembles that of Tanzania's Vodacom subscribers -Mkosamali (MP)
Watu kumi wakiwemo askari wa jeshi la polisi katika pwani ya Kenya, Mombasa ni miongoni mwa watu walioripotiwa kuuwawa katika machafuko yaliozuka jana jumapili tarehe 3 march 2013.
Taarifa kutoka vyombo vya dola zinasema kuwa vurugu hizo zimesababishwa na genge la wahuni.
Hii imetokea siku...
Ukiwa umetembelea upande huo wa tanzania utajua ni kiasi gani Kusini-mashariki kumesahaulika! Bandari ya mtwara ndio bandari pekee yenye kina cha asili ukanda wote wa africa mashariki, zao la korosho ni la pili katika kuchangia pato la taifa kwa upande wa kilimo, hifadhi ya selous ni ya...
A panel of 5 judges declares Anders Behring Breivik, a Norwegian accused mass murderer, terrorist and the confessed perpetrator of the 2011 attacks in Norway has been declared sane on the verdict of his controversial law suit!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.