sammosses
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 1,735
- 1,152
...I guess you meant intellectual.
yes,i mean intellectual
...I guess you meant intellectual.
na wewe kwa kuponda watu! Hivi wewe unanini hapa Tanzania? Una elimu gani wewe?kule thread uliniponda sana,niliporudi na kukupin dawn kwa hoja ukasepa.mkosa mali hata kama kaondoka law school kuna tatizo gani? Elimu haina mwisho atarudi kumalizia cha msingi uzima. Umekaa kimajungu sana kijana.[/ment]
i quote your statement in one f the threads here in this forum, " mimi bado mwanafunzi katika mambo ya siasa, nahitaji kujifunza toka kwenu wakongwe" sina mda wa kuargue na watu immature kama wewe mnaokiri udhaifu waziwazi.kakojoe ulale, huna hoja..wewe unajua nini except kukariri tu mambo,
aa
kawaida ya wapiga tarataraa wengi vilaza, shule ilikua ngumu akaona bora aendeleze kipaji chake cha porojo
mwache ajenge nchi shule kitu gani mwigulu nchemba na masters yake anafanya nini bungeni???
i guess u mean GUESS...I gues you mean ambiguous.
Yani mmekutana wote ni watoto wa MULONGO.
Nisingejali kama yangekuwa hayatuibii. Tunaibiwa halafu hawalipi kodi! TCRA na TRA wanapaswa kuingiliaHapa tanzania makampuni ya simu yamefanya kuwa shamba la bibi.VODACOM hawalipi kodi stahiki unategemea nini
ndio maana kakimbia law school akapige mdomo huko bungeni
we ni mwehu tofautisha kukimbia na kuahirisha masomo, usituhamishe kwenye mada bana nyambaf.the fact is kakimbia shule, haya nyie mnaojua zaidi na mje na evidence to contradict my allegation otherwise muache kuharisha, bila kua na facts to counter argue mine.
Please be intellectually,tatizo liko wapi,tueleze kwani umetuacha kwenye dilemma.
Kata rufaa kama imekuuma sana, njaa inakuuma
Sio kosa lako akili zako zimekimbilia kwenye makalio