Recent content by inspector gobo

  1. I

    JamiiForums Tanzania Duuuh, kweli wanawake wengine!

    Fanya maamuzi ya busara kaka, usijaribu kulala nae hata kidogo. mwachie chumba tafuta sehemu nyingine ya kulala.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Nastaafu kuuza wake za watu (Ijue biashara ya wake za watu in and out)

    Sio jambo la kukjisifia, Utakuja kuliwa kiboga sikumoja!!! shauri yako
  3. I

    JamiiForums Tanzania Nasema siwezi kuacha kuchepuka

    Utacheputa ma majini bure!!!!
  4. I

    JamiiForums Tanzania Mwanaume: Soma hapa utakosa mke

    Du! si mchezo Kumbe huwa mnaboreka sana eh?? sasa kwanini hamfunguki???
  5. I

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Hawa jamaa bwana,,,,, yani hongo kwao nikama usingzi Shame on them
  6. I

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kusisimua: Nilimsababisha Mateso Mke wangu

    Kama ni kweli poleni sana kwa yote ila kama ni ya kutunga we mkali sana, hongera sana mkuu.
  7. I

    JamiiForums Tanzania CCM Imejimaliza Rasmi na IPTL-ESCROW

    Hivi we foxy, unaakili timamu kweli? na unakijua unachoongea? Nina wasiwasi ubongo wako foxy. Au ndio maana ukaajiita foxy? kweli we foxy.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na hili lililotekea bungeni usiku wa Nov 28, 2014

    Maadhimia gani ya kijinga kama yale?? ach ujinga
  9. I

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na hili lililotekea bungeni usiku wa Nov 28, 2014

    Hakika wewe pia ni miongoni mwa watu ambao ufikiriaji wako ni mdogo sana, na nina kushauli usije tena kuleta hoja za kijinga kama hizi. Upuuzi wako kama huu hukohuko sio humu.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Mhongo katudanganya tena kuhusu kukatika kwa umeme

    hapo ndipo serikari yenu ya ccm ilipotufikisha.
  11. I

    JamiiForums Tanzania Jina la VERA wa Kenya linavyotumika kutapeli wadada mtandaoni

    Acha aendelee kuwatapeli, dada zetu wazidi kujirahisisha. Na wasipojiangalia wataendelea kutapeliwa kwa ujinga wao.
  12. I

    JamiiForums Tanzania Ibara 28 za Tume ya Warioba zilizoondolewa

    Umesomeka mkubwa!! hakika hilo ndilo la msingi.
  13. I

    JamiiForums Tanzania Nitarudi tena KCMC Hospital

    Acha ujinga!!!!!!!
Back
Top Bottom