Jina la VERA wa Kenya linavyotumika kutapeli wadada mtandaoni

Jina la VERA wa Kenya linavyotumika kutapeli wadada mtandaoni

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,153
Reaction score
2,700
attachment.php


Huyu jamaa anaunganisha wadada kwa mzungu fake na bila kujitambua dada yako anaingia mkenge kwa kukubaliana one night stand kwa dolali za kutosha baada ya mda anampigia dada yako anamwambia kua kapata breakdown na anahitaji msaada na watakapokutana atarudisha ile pesa dada yako anapotuma pesa jamaa wanatokomea na hawapati tena ,inasemekana jamaa anaitwa Hamisi yuko Arusha na ndio kazi inayomweka mjini sasa mamlaka husika nahisi wameshindwa kumtrace jamaa kutokana na ufinyu wa vifaa vya kiinteligencia na jamaa anaendelea kuwatapeli dada zenu !
 

Attachments

  • PhotoGrid_1411792349795.jpg
    PhotoGrid_1411792349795.jpg
    167 KB · Views: 269
Nimeiona hiyo taarifa IG, ila dada zetu nao waache tamaa, hw comes unatuma hela kwa mtu humjui, eti huyo dem aliahidiwa kulipwa mkwanja dolar 6000 for 4 nights, akaenda hadi kulipia room watakayospend na mzungu fake dollar 200 na bado akamtumia kama laki sita et mzungu alipata breakdown anataka anunue tyre mpya wakikutana atalipwa, dada zetu acheni tamaa, fikirini kwa makini sana
 
biashara ya kujiuza ni haramu, so kama mnajiuza alafu mnarushana fedha hilo ni tatizo binafsi haliusu kabisaa.
 
View attachment 188525

Huyu jamaa anaunganisha wadada kwa mzungu fake na bila kujitambua dada yako anaingia mkenge kwa kukubaliana one night stand kwa dolali za kutosha baada ya mda anampigia dada yako anamwambia kua kapata breakdown na anahitaji msaada na watakapokutana atarudisha ile pesa dada yako anapotuma pesa jamaa wanatokomea na hawapati tena ,inasemekana jamaa anaitwa Hamisi yuko Arusha na ndio kazi inayomweka mjini sasa mamlaka husika nahisi wameshindwa kumtrace jamaa kutokana na ufinyu wa vifaa vya kiinteligencia na jamaa anaendelea kuwatapeli dada zenu !
Acha aendelee kuwatapeli, dada zetu wazidi kujirahisisha. Na wasipojiangalia wataendelea kutapeliwa kwa ujinga wao.
 
Back
Top Bottom