CCM Imejimaliza Rasmi na IPTL-ESCROW

CCM Imejimaliza Rasmi na IPTL-ESCROW

Issue sio umeme wa bure, ni vipi uwe wa gharama kubwa namna hiii, watanzania ni maskini sana iweje leo B 321 zigawanywe kienyeji namna hii.
Tujaribu kuwa makini, tusifuate ushabiki
Hilo dude halishaurikagi utapoteza muda kulishauri tunaliachaga na kulipuuza tu limeshapofushwa na ufisadi. Huyu ni miongoni mwa wanasiasa mavi humu ndani wanaopuuza maslahi mapana ya taifa na kung'ang'ana na maslahi ya chama mana fedha za wizi ndizo zilizomlea..
 
Kumbuka fedha za escrow ni malimbikizo ya fedha za miaka 10, sasa miaka 10 fedha zote za malipo ziwe zinapelekwa benki kuhifadhiwa unafikiri zitakuwa ndogo?

Lakini kumbuka kuwa, moja katika maafikiano yaliyopo ni ku re invest hizo fedha na kuibadili hiyo mitambo na kuongeza mingine inayotumia Gas kwa gharama nafuu ili bei zishuke. Na hilo tayari wamekubaliana na lipo kwenye harakati la kufanyika na PAP wameshatangaza kulianza.

Hivi we foxy, unaakili timamu kweli? na unakijua unachoongea? Nina wasiwasi ubongo wako foxy. Au ndio maana ukaajiita foxy? kweli we foxy.
 
Hizo hoja dhaifu sana, pregnant mother alipokosa umeme hoaspital mlisema aaah' mnauwa watoto. Sasa ana umeme, mnashindana na wawekezaji mnataka umeme wa bure.

Ulipata ngapi? Jinga wewe kutetea ujinga, unajua kuna watu wanashinda Njaa Huku watu wachache wanagawana mabilioni? YA umma.
 
Hivi we foxy, unaakili timamu kweli? na unakijua unachoongea? Nina wasiwasi ubongo wako foxy. Au ndio maana ukaajiita foxy? kweli we foxy.

Achana nae huyu ndo muhongo mwenyewe sema anatumia nickname akili ndogo sana sijawah kuona profesa muongo kama huyu by kigwangala
 
Back
Top Bottom