Recent content by Innocenthezron

  1. Innocenthezron

    Msaada; kipi ni bora kati ya afya na uhandisi

    Afya n bola kwasababu ajila zake at least n uhakika tofauti na mekaniko injinialing..... Ila afya n very costful n galama so utani hasa ukiwa unaji sponsor mwenyewe akili kumkichwa kama uko vizuli kifeza kalibu afyani
  2. Innocenthezron

    UDSM tupunguzeni masifa sasa

    Waliosema kila kitu na mahala pake hawakukosea id ni kitambulisho cha mtu katika eneo husika........ Hivi itakuaje daktari aamue kutembea na koti lake kila maali injinia na ovaloli yake cjuh nahisi unapata maana yangu haileti picha nzuli na inaonekana n ulimbukeni
  3. Innocenthezron

    UDSM tupunguzeni masifa sasa

    Naona mkuu na kacheni flan hv umependeza
  4. Innocenthezron

    UDSM tupunguzeni masifa sasa

    International languages and not kiswaili which no matter how much ill be an expert on it wont take me anywhere.................. Mm bwana cjuh nilizaliwa naijua hii luga
  5. Innocenthezron

    UDSM tupunguzeni masifa sasa

    Luga za kibiashala achana hii ya kibongo ambayo hata nikihijuha kwa ufasaa hainipeleki popote
  6. Innocenthezron

    UDSM tupunguzeni masifa sasa

    Hv jkt wanaluusu kutembelea kwenda kusalimia???? Maana nimemisi kichiz yale masuala haiseee
  7. Innocenthezron

    UDSM tupunguzeni masifa sasa

    Me basi tuu kiswaili fasaa sikikubali ndo maana nahandika hivi....... Nina ugomvi na faizafoxy
  8. Innocenthezron

    Nahisi mapenzi yamenipotezea dira ya maisha

    Hahahah huyu jamaa bhn binadamu hana uwezo wa kumlaani binadamu mwenzake hiyo sio laana ni ugumu tuu wa maisha we ondoa hiyo fikra ya kulaaniwa af kaza moyo konde piga kazi kwa malengo utafanikiwa Achana na imani potofu hizo
  9. Innocenthezron

    UDSM tupunguzeni masifa sasa

    Ukivaa itakutambulisha ka we n mwanafynz wa ud asa kama wewe unataka kila unakopita watu wajue amepita jamaa wa ud basi vaa tuuu............ Usipovaa unaonekana laia wa kawaida
  10. Innocenthezron

    UDSM tupunguzeni masifa sasa

    Tatizo cio ud kuwa hivyo tatizo n kwann utembee nayo kila sehemu mpk masokoni kaliakoo huko
  11. Innocenthezron

    UDSM tupunguzeni masifa sasa

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ud bhn wamechukulia zile id kama cheni cjuh.....
  12. Innocenthezron

    How will I achieve science without physics

    Cdhan kama kuna system ya kuludia somo moja nahisi haipo thoigh cna uhakika sana fuatilia Ila mkuu umeamua kuludia mwaka palefu kama unataka kua doc kwann usiende c. O
  13. Innocenthezron

    How will I achieve science without physics

    Anhaaaaaaa kama ni hivyo huez kua doc wala hivyo bila physics kama unaweza na uko willing kuludia jalibu........... Hakuna kitu laa kama kuishi ndoto zako kusoma kitu ulichotegemea
  14. Innocenthezron

    How will I achieve science without physics

    Mwalimu wako hakukusajili phyisics kivipi na amekusajili usomee nn???? Uko levo gani na una malengo gani hapo baadae
Back
Top Bottom