ezraplatform
Senior Member
- Dec 19, 2016
- 109
- 51
Habari za saa hizi wanajukwaa
Bila kuwachosha mm nilikuwa naomba msaada wa mawazo maana najua humu kuna watu mbali mbali na uelewa tofauti,
Mimi nilimaliza kidato cha nne mwaka Jana na nikafaulu vizur kwa ufaulu wa juu kabisa ila kutokana na matatizo ya kifamilia nilishindwa kuendelea na masomo kidato cha tano, sasa nimekua nyumbani kwa mwaka mzima na imetokea bahati ya mm kusoma tena ila sitoendelea na advanced level badala yake nitaenda chuo
Na hapa nimekuwa na mawazo sana kipi kipo bora kati ya kusoma afya au uhandisi
Ufaulu wangu kwa masomo yenye interest kwa nachotaka kusoma hapo hivi;
Physics- C
Chemistry- B
Biology- C
Mathematics- B
Nyumbani wananishauri kama ni Afya nikasome Clinical officer (CO)
Au kama ni engineering nisome Mechanical engineering.
Sasa wadau wa jukwaa hili
naomba na nyie munipe msaada wa mawazo yenu kuhusu hiki
Asanten.