How will I achieve science without physics

pozzy

Member
Jan 20, 2017
78
26
Jamani me naomba tu ushauri mwalimu wangu alinifanyia ukatili hakunisajili physics na sikufanya pepa la physics japo ndo pindi nilikuwa nalivunja.

Sasa najiuliza maswali sipati majibu vipi nilikalie pepa tena mwaka huu au nichange comb tu
 
Physics ndio Pure Science,ndio baadhi ya course za afya bila Physics husomi.Kama unaimudu soma Phy ina Chanel nyingi na wanaoweza kufundisha ni wachache.
 
Nimeelewa kwa hyo mnanishauri nliseat for phz
 
Jamani me naomba tu ushauri mwalimu wangu alinifanyia ukatili hakunisajili physics na sikufanya pepa la physics japo ndo pindi nilikuwa nalivunja.

Sasa najiuliza maswali sipati majibu vipi nilikalie pepa tena mwaka huu au nichange comb tu
Mwalimu wako hakukusajili phyisics kivipi na amekusajili usomee nn???? Uko levo gani na una malengo gani hapo baadae
 
Ndo nimemaliza form four nlkua na lengo la kuchukua PCB, PCM, PGM nimeomba ushauri kwa sababu naona possibility iliyopo sasa hivi ni CBG,EGM,HGE lakini mimi napenda sana kuwa doctor au Engeneer sasa ndo nikauliza naweza kufanikiwa kati ya hayo bila kusoma physics advance???
 
Anhaaaaaaa kama ni hivyo huez kua doc wala hivyo bila physics kama unaweza na uko willing kuludia jalibu........... Hakuna kitu laa kama kuishi ndoto zako kusoma kitu ulichotegemea
 
Sawa mkuu nimekuelewa lakini si naweza kurudia Physics tuu mwakani
Cdhan kama kuna system ya kuludia somo moja nahisi haipo thoigh cna uhakika sana fuatilia
Ila mkuu umeamua kuludia mwaka palefu kama unataka kua doc kwann usiende c. O
 
Sawa mkuu nimekuelewa lakini si naweza kurudia Physics tuu mwakani
Sawasawa mkuu mwenyewe nljiuliza maswali mengi ndo maana nikaamua kuja hku kupata idea lkin mzaz nilikuwa napenda sana kuwa kati ya hzo post nlzokutajia lkn sina budi japo Art sipo kivile
 
Bila Physics saivi husomi kozi yoyote ya afya labda basic certificate in community healthy peke yake zingine hauruhusiwi!
Daaa bas mimi naona bora nikae for physics tena maana kuna nliona wanafanya lakini hao walikuwa wamefeli ndo maana najiuliza sipati jibu
 
Jamani me naomba tu ushauri mwalimu wangu alinifanyia ukatili hakunisajili physics na sikufanya pepa la physics japo ndo pindi nilikuwa nalivunja.

Sasa najiuliza maswali sipati majibu vipi nilikalie pepa tena mwaka huu au nichange comb tu
Soma CBG, Utapata 98% Ya Chochote Anachoweza Kukisoma Wa Physics Au Zaidi. Kureseat Hutatoboa, Utapoteza Muda, Fedha, Na Hutopata Chochote.
 
Back
Top Bottom