Recent content by innocentcurry

  1. innocentcurry

    JamiiForums Tanzania IPHONE 7+ 128GB BLACK MATE

    850000tsh
  2. innocentcurry

    JamiiForums Tanzania IPHONE 7+ 128GB BLACK MATE

    Ipo kwenye good condition...used 2 months only..battery health 85%..running iOS 13..850k
  3. innocentcurry

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Wakuu msaada drama za kikorea za action nataka nizishushe hapa anayefaham hata 5 hv
  4. innocentcurry

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa SUA 2017/18 tukutane hapa

    Wakuu mliopo SUA hapo kuna watu tuna ugonjwa na mpira..hv kuna sehem za kuchek mpira karibu hapo main campus
  5. innocentcurry

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa SUA 2017/18 tukutane hapa

    Hv sua kuripot lin??
  6. innocentcurry

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa SUA 2017/18 tukutane hapa

    Wakuu mliopo sua..vp kuhusu hostel hapo zinapatikana za chuo au tujiandae kupanga tu
  7. innocentcurry

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa SUA 2017/18 tukutane hapa

    Nimechaguliwa bachelor of information and records management..mwenye ufaham ikoje hii
  8. innocentcurry

    JamiiForums Tanzania Ewe mwanachuo jipange

    Naomba kuuliza..hv hilo boom mnalolizungumzia unaweza ukapata hata kama hujapata mkopo au
  9. innocentcurry

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

  10. innocentcurry

    JamiiForums Tanzania Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

    Mm mwenyew ilizngua jana ila mkuu mv jr alinishaur niangalie link nyingne pale pale chin yake na nikaikuta moja iko fresh sana..so mkuu chek link video nyingne chin hapo
  11. innocentcurry

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Misimu 7 mfululizo madrid kila msimu wa la liga ame fungwa goli nying kuliko barca...kaangalie misimamo ya lig tang 2010
  12. innocentcurry

    JamiiForums Tanzania Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

    Sawa kk subir nichek
  13. innocentcurry

    JamiiForums Tanzania Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

    Mv jr hz mechi leo kama vile zimekuwa zoom co kama za lig hz kuna parts huon
  14. innocentcurry

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

  15. innocentcurry

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    next El classico kwetu itakuwa saa 8 mchana Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom