Ukinipa buku nikuzalishie 100000 Kwa wiki ni rahisi Sana
Ukinipa buku naenda kununua vocha ya 1000 cha kwanza naweka kwenye simu naunga bando langu 1000 napata kama MB 400 naingia mtandao wa kijamii Mimi uwa nauza vitabu online natafuta kavaa za vitabu nzuri naweka maneno mazuri napost uhakika...
Mtambiko ni Ibada kama Ibada nyingine na ndio Ibada ya kweli halisi
Faida yake inakuunganisha na asili yako inakulinda na kukupa mafanikio
Kikubwa zaidi ukienda kanisani au msikitini kuomba chochote
Kujibiwa ni pole pole sana au usijibiwe kabisa
Ila kwenye tambiko ukifanya vema inavyopaswa...
Juzi niliona video wamasai wakizozana na watu wanaosemekana ni polisi huko Zanzibar mwisho wa siku ilitokea kutokuelewana wakaanza kushambuliana
Baada ya ile video viongozi wakachukuwa hatua
Hapo ndio inadhiirisha tunaongoza na viongoz wenye akili ndogo na mihemko mingi wakurupukaji...
Tafuta eneo zuri kwa biashara ya viatu vya kike na kiume
Kisha safiri hadi mwanza mtaa ya Lumumba kuna maduka mengi ya jumla ya viatu ya kike na kiume na wanauza kwa bei ndogo sana fika pale chagua viatu vizuri nenda zako shinyanga kapige kazi ukichukuwa mzigo wa laki 3 mkubwa kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.