Recent content by In christ alone

  1. In christ alone

    Ndalichako: Marufuku wasio na sifa kujiunga na masomo ya shahada kwa kupitia kozi za'foundation'

    Itafahamika tu, waje nahuku nina ka4 kangu ka 26 na ninachukua degree ya umeme. Wakichelewa namaliza chuo na walinidahili wao wenyewe(TCU).
  2. In christ alone

    KIGOMA: Zaidi ya abiria 50 wanusurika kifo baada ya basi kutumbukia katika mto Malagarasi

    Nimesha wahikufika eneo tukio lilipotokea, kwa utaratibu ulivyo pale kila abilia lazima ashuke alipie gharama ya kuvukia na dereva pia analilipia gar lake, so ingekua ngum kwa abilia kubaki ndan ya gar wote lazma washuke, labda hasara ni mizigo iliokuwa ndan ya gar, siamin kama kuna majeluhi pale.
  3. In christ alone

    Chini ya uongozi wa Magufuli tutaipoteza Zanzibar

    Kila nchi ambayo iligawanyika baadae hutokea haohao kuwa maadui mfano, korea, sudani nk. Si vzr tukagawanyika ndugu.
  4. In christ alone

    'Who created God' is an Illogical Question!

    Kwa lugha yangu ya kibantu, "kiranga" maana yake "shetani" kwahiyo sishangai kuona unashabikia kua Mungu hayupo. Pole sana ndugu maana anaekutumikisha tayar kasha hukumiwa.
  5. In christ alone

    Diploma holder mjiandae

    Kwan hao waliopata nafasi waliapply direct chuon, au walipitia nacte
  6. In christ alone

    Yahusu diploma holder to degree

    Wataanzaje masomo mwaka wa kwanza hawajafika, itawalazim wapeleke tar mbele mkuu maana hakuna namna nyingine.
  7. In christ alone

    TCU sipendagi ujinga mimi!

    Alafu kukukosa ww m1 hawawez pungukiwa kitu mkuu, bora uwe mpole tu
  8. In christ alone

    Second round post

    Hahaah kweli itakua kaota uyo jamaaaa
  9. In christ alone

    Kwanini Biblia imeandikwa kwa lugha ngumu?

    Hicho kinacho kukeleketa moyon nakikemea kwa jina la Yesu toka, toka, na upone uwe mzima, uwe na aman kwa jina la Yesu, ameeen.
  10. In christ alone

    Kwanini Biblia imeandikwa kwa lugha ngumu?

    Ni "Mungu"sio mungu, pole sana, kwanza umekaaa kimabishano hutak msaada Mungu wa Ibrahim, Isaka naYakobo akusaidie.
  11. In christ alone

    Msaada jinsi ya kujikinga na majini

    Hakuna cha maji ya baraka, jina la Yesu niyote ktk yote.
  12. In christ alone

    Kwanini Biblia imeandikwa kwa lugha ngumu?

    Pole sana mkuu kwakua bado hujaijua kweli, nikushauli tu jitahidi kutafuta msaada kwa wanao mjua Mungu kiundan na kazi zake pia. Kwa ufaham wako inaonyesha jinsi gan unapotea kupitia biblia, hujajua nin kimeandikwa na kinamaana gan halisi kwetu pole sana, ( kumcha Bwana nikuuchukia uovu.)
Back
Top Bottom