Mtoto wa Gaddafi achiwa huru na wanamgambo wa Abu Bakr al-Siddiq baada ya kumshikilia kwa miaka 6

Hawa rebels mioyo yao inawasuta sana tangu walipomuondoa Late Gadaffi. Na kwasababu wameona hakuna wanachokipata toka kwa US ndio hvyo wanaona bola utawala wake urudi kwa mtoto wake. Sio ajabu ukisikia haohao rebels wakaanza kumsapoti mbeleno ili awe rais wa Libya.
 
Labda watajifunza baada ya kumuua Ghadafi Libya imebaki si salama tena mpaka leo
 
Ushindi unakuja mbegu imepandwa na lazima iote Libya ya Gaddafi sio hii ya leo Saif kuachiliwa ni dalili njema kwa walibya
 
Angalau
Ila baba yake jeuri ndio imemuua
Yule ndo ninja wa kweli (I will fight o the last drop of my blood..maneno yake) sio viongozi wa bongo wakitiswa tuu na mmarekani washapiga magoti matokeo yake wanachukua madini yetu wanatupa net???

Gagaf ni miongon mwa strong men karne hii ya 21. Alipigania alichokiamin na aliwafikisha libya mbal sana
 
Back
Top Bottom