Azam kuendelea vibaya inaashiria ubingwa ni wa yanga maana hakuna timu yenye uwezo wa kushinda mechi nyingi kama ilnavyofanya yanga na hakuna timu ktk ligi kuu yenye kikosi imara na bora zaidi ya yanga,ukweli lazima tuseme tuache kulazimisha ndoto kuwa kweli
Mabinti huwa wanachagua sana na hupenda wanaume wanaodanganya ndio maana hata muoaji wakweli anapomtokea huwa hajitambui,yupi mkweli zaidi anaangalia yule anayempatia vitu na pesa mwisho akichoka anaachwa njia panda,akija kushtuka kijua kimeshazama,yule aliyemringia anamkuta tayari anafamilia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.