Kiporo cha Azam kimechacha: Azam 2, Ndada 2 Full time

2-2

Ft azam naonaaa wingi wamagoli NA Esperance mola awasaidie
 
Ila Yanga wanabebwa, kwa nini wao hawajacheza kupunguza viporo au kwa nini Azam nao wasingecheza?
 
Halafu wanajiita wa kimataifa! Yanga oyeeeee... Daima mbele nyuma mwiko
 
Mbeleko. Leo ilitakiwa muwe bize kukamulia ndimu kiporo chenu kisichache. Mmebebwa, tutaona huo ukimataifa jumamosi.
sisi tuko ufukweni tunapiga tizi tu. viporo vyetu huwa tunaweka kwenye jokofu, kazi ni kupasha tu na kuendelea na mlo kiulainiiii
 
Nasikia Azam waliiomba TFF isogeze mbele mechi yaona ndanda wakakataliwa baadaye Yanga nao wakaomba mechi yao ya leo isogezwe mbele li-TFF la malinzi likawakubalia, kwa kweli hapo hakuna fairness! Naanza kupata wasi wasi na TFF ya malinzi!
 
Nasikia Azam waliiomba TFF isogeze mbele mechi yaona ndanda wakakataliwa baadaye Yanga nao wakaomba mechi yao ya leo isogezwe mbele li-TFF la malinzi likawakubalia, kwa kweli hapo hakuna fairness! Naanza kupata wasi wasi na TFF ya malinzi!
Yanga na azam wote walipewa mapumziko kwa mechi za leo,azam wenyewe ndio walikataa kwa kudai hawataki kuvuruga program ya mwalimu wao alieandaa kwa mechi ya leo
 
Ubora Wa jokofu bila generataa utalia tu

Papason suokweli Yanga walipeleka barua nionyeshe ya azam
 
Azam kuendelea vibaya inaashiria ubingwa ni wa yanga maana hakuna timu yenye uwezo wa kushinda mechi nyingi kama ilnavyofanya yanga na hakuna timu ktk ligi kuu yenye kikosi imara na bora zaidi ya yanga,ukweli lazima tuseme tuache kulazimisha ndoto kuwa kweli
 
Sasa Ile Kauli Ya Kujinasibu Ya Saad Kawemba, Kuwa AZAM Ni Timu Ya Kuwa Bingwa Au Nafasi Ya Pili Tu Si Vinginevyo!!!! Sasa Ngoja Tuje Tuone!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom