Recent content by Immahay

  1. I

    Polisi, ikitokea nimeokota kifaa cha kiaskari au bunduki nifanyeje ili nisihusishwe nacho?

    Ukikuta nyoka umchape na hiyo fimbo halafu kisha uitupe na ukimbie mbali ...
  2. I

    Kutegemea Mgao wa 50% ya faida kutoka Acacia ni ujanja mwingine wa Acacia

    Barrick ni wanamiliki hisa 64% lakini wanaoendesha mgodi ni Acacia Acacia ndio wanachimba na Ndio wanauza dhahabu Lazima wapitie mapendekezo ya Barrick kwanza ... Then wataamua itakavokua sio lazima wakubali kila kitu
  3. I

    Naitaka TCRA kumchukulia hatua za kinidhamu Sasha Kassim kwa ku-post picha za utupu mtandaoni

    Nipe namba yake kama unayo Sent using Jamii Forums mobile app
  4. I

    Kama Marekani alipigwa Vietnam ataweza kupambana na Korea Kaskazini?

    The truth is that our military won the war, but our politicians lost it. The Communists in North Vietnam actually signed a peace treaty, effectively surrendering. But the U.S. Congress didn't hold up its end of the bargain.Jun 23, 2014 The Truth about the Vietnam
  5. I

    RASMI: Marekani Yaingia North Korea. US Aircraft Carriers Zilizofichwa Singapore Zapelekwa

    Hakuna namna hizo nchi ulizotaja zitaisaidia north Korea ... Syria ilisaidiwa na Urusi sababu tu iliuizia silaha ... North Korea inatakiwa iangushwe watu waweke umagharibi wafanye biashara ... Hata sisi huku Moshi tunatAka tupeleke kahawa
  6. I

    Jamani tusemeni tu ukweli, Mange Kimambi is a Tanzanian hero

    Mange hana tofauti na hao wengine kina Snoopy na tupac ... Na kina Trevor Noah. Bill Maher etc ... ambao hutumia lugha za kiutu uzima kwenye "majukwaa yao". For adults only ... Kama hujakomaa unaweza usimuelewe Mange. Pamoja na kutoa taarifa, pia ni entertainer ... Lazima utacheka tu! Na...
  7. I

    Redio kujadili mubashara mambo ya Hedhi na Pedi ndiyo maadili ya Kitanzania?

    Unataka watoto wanuke na washindwe kujichanganya na wenzao ... Kwani nani asiyejua kinachofundishwa kwenye unyago na jando? Acha watoto wajitambue mapema
  8. I

    Siasa za Upinzani: Kilimanjaro vs Tabora

    Ubungo ni Kilimanjaro?
  9. I

    Nauliza tu: CHADEMA sera yao ni ipi kwa sasa?

    Very smart Ben
  10. I

    Prof. Kitila Mkumbo: Watanzania punguzeni imani kwa viongozi

    Mbowe alipokea fisadi yupi? Sasa hiyo fisadi mbona mahakama inaundwa inamaana Lowassa atashitakiwa? Subiri uone. Magufuli ndie anayemiliki magereza na mahakama na jeshi la Anga na nchi kavu lakini hadi sasa hakuna fisadi yeyote katokea chadema
  11. I

    CHADEMA na Jeshi la Polisi waonywa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora

    Mashinji nae anashangaza tuu. Atakubalije kukaa kikao ambacho akidi haikutimia?
  12. I

    Magufuli na cheap Politics, usanii tu

    Magufuli ni msanii tu na hana kazi za kufanya wala haonyeshi kuwa anaumizwa na jambo lolote linalomsukuma kuutaka urais. Yani ni mtu anayechululia urais kama post tu yoyote katika baraza la Mawaziri. Hajajiandaa. Hajaandaliwa!!! Mtu makini atapandaje ngazi wakati kuna lift .. Yan ili iweje...
  13. I

    Mbowe: Lowassa ni dhaifu, ni bubu

    Kauli au maoni ya Mbowe sio ya mahakama au ati ndio hukumu. Ni kweli Lowssa hakua mchangiaji sana bungeni. Na pia hakuonyesha makucha yake hadharani .. Sasa tumejua kuwa mfumo na desturi ndani ya CCM imekua ikiminya sana. Pia ndoto zake za kuwania urais ndani ha hicho chama ilikua inapitia...
Back
Top Bottom