Siasa za Upinzani: Kilimanjaro vs Tabora

Siasa za Upinzani: Kilimanjaro vs Tabora

Heeeeeeeeeeeeh!!!!!!!

Unajua kwanini nashangaa?? Nashangaa kwa baadhi kutofahamu kuwa multi party system na globalization kuna faida (positives) na hasara (negatives)...inasikitisha mno....Baadhi ni watu wa kuwahurumia tu...
 
Nabado zibeni macho na ubongo.

Unajua kwanini nimeshangaa....nashangaa kwa kuwa inaelekea bado kuna watu wasiofahamu kuwa multi party system na globalization kuna faida (positives) na hasara (negatives)...Baadhi ya watu ni wa kuwahurumia tu...
 
Kuna correlation kubwa kati ya kuchagua upinzani na elimu au exposure ya mtu, mikoa mingi iliyochagua upinzani ukiangalia ina kitu kimoja in common, ni wafuatiliaji wa kinachoendele a serikalini na wana elimu, nadhani unabisha hili kwa kuwa wewe ni kada wa CCM, so it's understandable ukibisha ili uendelee kukipa credit chama chako
weka takwimu za kielimu kwa mikoa iliyochagua upinzani tuone
 
Kwa hiyo ukichagua chama cha upinzani ni exposure
 
Unajua kwanini nimeshangaa....nashangaa kwa kuwa inaelekea bado kuna watu wasiofahamu kuwa multi party system na globalization kuna faida (positives) na hasara (negatives)...Baadhi ya watu ni wa kuwahurumia tu...
Give us prons and cons of single and multiparty systems.So that we can be able to weigh both systems.Other things are just blah blah.
 
weka takwimu za kielimu kwa mikoa iliyochagua upinzani tuone
Unaishi Tanzania? au unaishi lakini hufuatilii kinachotokea Tanzania kwenye siasa? Ok ni hivi halmashauri za majiji yote isipokuwa Mwanza zimechukuliwa na upinzani, majimbo ya mjini kama Dar, arusha, mbeya, iringa,moshi, yameenda kwa upinzani..sehemu nyingi upinzani inapopata kura ni mjini
 
wasom wa kwanza tanzania walitoka tabora,wapinzan wa kwanza tanzania walitoka tabora.ila hawakuwejeza tabora
 
Unaishi Tanzania? au unaishi lakini hufuatilii kinachotokea Tanzania kwenye siasa? Ok ni hivi halmashauri za majiji yote isipokuwa Mwanza zimechukuliwa na upinzani, majimbo ya mjini kama Dar, arusha, mbeya, iringa,moshi, yameenda kwa upinzani..sehemu nyingi upinzani inapopata kura ni mjini
hiyo ndiyo takwimu ya kielimu?
 
Wachaga ni wabinafsi, wabaguzi na wenye choyo kali... Wanachaguana wao tu.
 
weka takwimu za kielimu kwa mikoa iliyochagua upinzani tuone
mkuu unataka takwimu zipi tena au unataka ubishi tu hivi unaweza kufananisha mwamko wa elimu wa kilimanjaro na dodoma au mwamko wa kielimu kati ya mbeya na Tabora
 
Hapa tunazungumzia upinzani kuchaguliwa Kilimanjaro ni kwa sababu ya ukabila na udini? kama ni ndio leta ushahidi wako straight, hivyo vingine vyote unavyosema ni upuuzi na hearsay za watu,huu ubaguzi amabo unasemwa sana hapa JF sijawahi kuuona wala ku experince labda Moshi ya miaka ya 70'S

sasa kama wewe hujawahi kuona wala ku experience maana yake ndio haupo? Vingapi hujaviona wala ku vi experience lakini vipo? Kwa hiyo unataka kutuambia ushoga na mapenzi ya jinsia moja yapo kwa vile umeshawahi kuona na ku experience? Argument nyingine bwana!
 
Nadhani elimu na exposure ya watu wa mkoa husika pia inahusika, Tabora watu wake ukilinganisha na Kilimanjaro (no offense) Kilimanjaro ni watu wasioaminishwa hekaya za ajabu ajabu na ni watu wanaotake risk
Kilimanjaro wako sensitive sana na ukabila/ukanda. Ili mradi tu mgombea au chama kinatoka au kinaongozwa na mtu wa kwao basi wote wataungana kumshabikia. Fikiria kama kweli wana mwamko wa elimu wangeweza vipi kumshabikia wote kabisa tena kwa ujumla mgombea aliyekuwa zezeta kama Mrema 1995? Lakini pia fikiria walivyokuwa wamejitoa ufahamu kwenye uchaguzi uliopita, walikuwa wako tayari kupiga kura kwa Lowasa hata pale alipoonesha dhahiri kwamba hakuwa sawa kwa namna yoyote. Wakati fulani wakitamka walikuwa tayari kupigia kura hata jeneza la mgombea wao.Tabora hawako hivyo, wana historia na siasa tangu enzi hizo na sio hawa wa kaskazini (hasa wachaga) ambao kwao siasa ni kutaka kujimilikisha mirija yote ya uchumi wa nchi na kuielekeza mifukoni mwao. Ushirikiano wa kaskazini ni kama ule wa waendesha bodaboda.
 
Wachaga ni wabinafsi, wabaguzi na wenye choyo kali... Wanachaguana wao tu.
Wachaga ndio wamesababisha Tanzania kuwa maskini.Kwa hiyo tuchague watu wa Kanda ya ziwa tufikie uchumi wa kati na Tanzania ya viwanda.Hahaha
 
Kilimanjaro wako sensitive sana na ukabila/ukanda. Ili mradi tu mgombea au chama kinatoka au kinaongozwa na mtu wa kwao basi wote wataungana kumshabikia. Fikiria kama kweli wana mwamko wa elimu wangeweza vipi kumshabikia wote kabisa tena kwa ujumla mgombea aliyekuwa zezeta kama Mrema 1995? Lakini pia fikiria walivyokuwa wamejitoa ufahamu kwenye uchaguzi uliopita, walikuwa wako tayari kupiga kura kwa Lowasa hata pale alipoonesha dhahiri kwamba hakuwa sawa kwa namna yoyote. Wakati fulani wakitamka walikuwa tayari kupigia kura hata jeneza la mgombea wao.Tabora hawako hivyo, wana historia na siasa tangu enzi hizo na sio hawa wa kaskazini (hasa wachaga) ambao kwao siasa ni kutaka kujimilikisha mirija yote ya uchumi wa nchi na kuielekeza mifukoni mwao. Ushirikiano wa kaskazini ni kama ule wa waendesha bodaboda.
Unaongea upuuzi, mimi nimeuliza hao wabunge walioshindwa uchaguzi kutoka ccm walikuwa sio wachaga?
 
Kililimanjaro kuna matatizo ya udini na ukabila tofauti na Tabora hawana udini wala ukabila. Ukitaka kuhakikosha hill angali jimbo la ubungo na kibamba tangu enzi za kina lamwai na zaidi ya hapo
Ubungo ni Kilimanjaro?
 
sasa kama wewe hujawahi kuona wala ku experience maana yake ndio haupo? Vingapi hujaviona wala ku vi experience lakini vipo? Kwa hiyo unataka kutuambia ushoga na mapenzi ya jinsia moja yapo kwa vile umeshawahi kuona na ku experience? Argument nyingine bwana!
mimi nimeishi Moshi miaka mingi, nimesoma na wachaga, wambulu, wasukuma wajaluo na wengineo pia, ila watu wenye bond kubwa za kikabila ni watu wa kanda ya ziwa, wambulu na wengineo
, hata vyuoni wana vyama vyao, watu ambao hawashobokiani kisa kabila moja ni wachaga, hii nadhani ni kutokana na kuchanganyikana na makabila mengine kwa kuwa wengi hawaishi Moshi,
sasa wewe hebu toa ushahidi wako kuwa kuna huo ikabila na udini, sio maandishi matupu
 
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/17440661 Kutokana na giza nene lililopo la ucheleweshaji wa ajira mpya Serikalini kutokana na kauli mbiu ya watumishi hewa kushika kasi na kutumika na serikali kama ngao ya kuchelewesha au kutotoa ajira mpya serikalini hadi sasa hasa katika sekta za vipaumbele, leo baada ya kutoka mjini Nzega, nimetembelea wilaya ya Igunga.

Safari yangu ilinifikisha katika kijiji cha *Mwamashiga* kilichopo kata ya Mwamashiga katika wilaya hiyo.

Pamoja na mambo mengine nilikuwa nafanya utafiti mdogo juu ya huduma za afya vijijini pamoja na hali ya elimu nchini nikiwa nimechukua wilaya 5, katika mikoa mitatu kwa ufadhili wangu binafsi.

Pamoja na kutembelea zahanati kadhaa na shule kadhaa wilayani Igunga na kubaini mambo kadhaa kutokana na utafiti wangu mahususi, nimegundua kuwa hali ya upungufu wa walimu katika shule za Msingi na Sekondari ni kubwa sana kiasi kwamba watoto wa Masikini wanahudhuria shuleni na kurudi nyumbani bila kufundishwa.

Walimu waliopo ni Wachache kiasi kwamba wanaelemewa na mzigo na kujikuta wakiacha baadhi ya madarasa kutofundishwa kabisa.

Walimu katika shule za sekondari licha ya kuwa wachache pia, tatizo la walimu wa sayansi ni kubwa zaidi kiasi kwamba mwalimu wa sanaa mfano aliyesoma kiswahili na somo la Jiografia, analazimika kufundisha Biolojia au kemia ili walau watoto wapate msimamizi wa somo.

Baadhi ya mikoa, wanafunzi hawajasoma masomo ya sayansi tangu januari kifasaha kutokana na kukosa mtu wa kuwafundisha.

Shule za Msingi hali ni mbaya zaidi, walimu wachache, wanaishi katika mazingira Magumu huku masomo ya kufundisha yakiwa Mengi zaidi. Mfano katika Shule ya Msingi Mwamashiga wilayani Igunga, walimu waliopo kituoni wakifanya kazi kwasasa ni sita tu (06), huku idadi ya wanafunzi shuleni hapo ikiwa ni zaidi ya wanafunzi 500 ikiwa madarasa kuanzia la kwanza mpaka la saba.

Wakati nafika shuleni hapo nilikuta walimu wawili tu (02) huku wanafunzi wakipiga kelele madarasani bila kufundishwa huku wengine wakizagaa nje. Mkuu wa shule alikuwa safarini, mmoja akiwa ameshiriki mazishi ya mwanakijiji, na wengine wawili hawakutajwa waliko na Mwalimu niliyemkuta kituoni.

Kwa hali hii na kwa mfano huu mmoja utaona kuwa watoto wa Masikini wanateseka, hawana walimu, hawana msaada huku walimu wachache wakifanya kazi nzito iliyo nje ya uwezo wao.

Wakati hayo yakitokea, walimu wapo mtaani hawana ajira tangu mwaka jana huku serikali kupitia mawaziri wake wakiahidi kutekeleza ahadi ya kuajiri walimu bila mafanikio. Rais Magufuli naye aliahidi kuanza kuajiri baada ya miezi miwili lakini miezi miwili imepita bila mafanikio.

Rais wetu Mpendwa, waajiri sasa walimu na watumishi wa idara ya afya ili wawasaidie watanzania Wanyonge

Elizabeth Kapwani
Kapwani24@gmail.com
 
SUKUMA + NYAMWEZI LAND zamani Bomani aliita MWASHITA( Mwanza,Shinyanga & Tabora) The Three Sleeping Giants Kule Usingizi wa Maarifa upo na ndio Chanzo cha Upinzani Dhaifu na Umaskini
Upumbavu wa kulinganisha elimu na upinzani. Ukabila mtupu, tungewaelewa kama hao wanaojiita wapinzani wasomi wangekuwapo wengi huko CUF, UDP na labda TADEA. Wanakuwa wapinzani pale tu chama fulani kinaongozwa na mtu toka kwao. Wajinga wakubwa. Subiria CCM baada ya magufuli wamweke Agrey Mwanri kugombea urais uone wachaga watakavyomiminika kushabikia kijani. Au subiria CDM watakapofanya uchaguzi M/kiti awe prof. Safari, Makamu Rwakatare, Katibu Mkuu abaki Mashinji, Naibu awe David Silinde, Msemaji wa chama awe Ester Bulaya, Mwanasheria abaki Lissu na kuwe na dalili za wazi kwamba mgombea urais wa CDM/UKAWA awe Mtatiro au mwingine yeyote toka CUF. Hapo wakichagua Mtatiro badala Mwanri utajua ni wapinzani na si wakabila.
 
Back
Top Bottom