Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Baada ya kuuthibitishia Umma kwamba walitudanganya na Sera yao ya Ufisadi na kupigania Rasilimali za Umma, naomba kuuliza swali dogo tu kwa CDM;
Kwa Sera yao ni ipi na je, wana mpango gani kuhusu kuzunguka Nchi nzima kuwaomba radhi Wananchi kwa ulaghai wao?
Pili ile KATIBA waliotudangaya mpaka tukawapigia Kura 6m iko wapi na mbona hatuoni harakati zozote za kuipigania badala yake tunasikia Ujenzi wa UKUTA tu! Au ndiyo tumepigwa change la macho tena? Kama ndivyo nani atawaamini tena kwa kudanganya kwa mara ya pili?
Tatu, Ruzuku ya CDM inafanya kazi gani mbona hata Ofisi ya Makao Makuu inatia aibu? Kama lengo kweli ni kuchukua dola, CDM si ndio itatuangusha kabisa kama kujenga Ofisi tu inakuwa shida, vipi mambo makubwa ya Nchi?
NAULIZA TU!