Mbowe: Lowassa ni dhaifu, ni bubu

Mbowe: Lowassa ni dhaifu, ni bubu

Status
Not open for further replies.
SASA MBOWE AACHE KUWAITA KINA CHENGE,TIBAIJUKA,MUHONGO NA NGELEJA AJE KUMUITA LOWASSA AMBAYE ALIBAMBIKIWA TU KESI? mafisadi wakuu,wazee wa ESCROW bado wapo CCM
 
Ingekuwa nchi nyingine Mbowe alitakiwa kujiuzulu mara moja. MAANA hata wavuta bangi na walevi wasingemsikiliza. Nyerere alilazimika kujiuzulu maana ilikuwa kwake vigumu kukumbatia vyama vingi wakati siku zote alishabikia chama kimoja. SLAA kaamua kukaa pembeni maana alitueleza bayana Lowasa ni fisadi na ushahidi anao.
Hawa akina mbowe, lema, tundulisu ni wahuni kwa historia ndio maana wako tayari kusema kinyume na waliyoyasema mwanzo.

Mwenye ushaidi aende mahakani. Kama huna ushaidi just shut up.
 
Wakuu nimepitia kumbukumbu zangu zote sijaona sehemu hata moja Mh.Mowe mweyekiti wa CDM akimtaja Mh. Lowasa kuwa ni fisadi. waliokuwa wakisimama hadharani bila woga walikuwa ni Katibu mkuu na viongozi wengine wa chama. kuna nini nyuma ya pazia?

katibu mkuu ndiye mtendaji mkuu wa chama...tamko lake lazima lichukulie kwa uzito.
 
Mwenye ushaidi aende mahakani. Kama huna ushaidi just shut up.

Haya maneno ndiyo mumemezesha na huyo fisadi. Si lazima uende mahakamani ili mtuhumiwa awewizi. Ushahidi wa mazingira unatoshakabisa kumchafua mtu anaetaka nafasi kubwa kama hiyo ya urais. Not just tell people to shut up. You shut up yourself if you do not have anything of value to say
 
Mh.Mbowe amenukuliwa na Tanzania Daima akimchana Mh.Lowasa kuwa ni mgombea dhaifu na bubu wa kukemea ufisadi.

Amesema UKAWA hawawezi kuwa nae,hivyo asiwatishe CCM kuwa ana nafasi UKAWA.

Source:Tanzania Daima page no.5
Aliwaaminisha ccm hawatamchukuwa na wao wakaingia kichakichwa kumkata!
 
SASA MBOWE AACHE KUWAITA KINA CHENGE,TIBAIJUKA,MUHONGO NA NGELEJA AJE KUMUITA LOWASSA AMBAYE ALIBAMBIKIWA TU KESI? mafisadi wakuu,wazee wa ESCROW bado wapo CCM

Baba lao akina Chenge, Tiba, Ngeleja ni Edward Lowassa
 
Hao kina Chenge,Ngeleja na Tibaijuka MMEWASHUHULIKIAJE?

Hebu cheki track record yangu mi ni mwana mageuzi halisi na ni supporter wa Dr Slaa miaka mingi. Siko CCM.
We na akina Mbowe ni wasaliti wa harakati zetu na tutawamulika. Ni mafisadi kumbe! Huyo Edo ndo baba lao na Rostam ni Chief financier wa mafisadi na mmewafungulia mlango. Subiri tutaibua kila kitu baada ya kumdhalilisha mzee wetu na wapiganaji kama akina Lipumba
Kama huamini kaa humuhumu utajionea mambo.
 
Mbona hujajibu swali,unazunguka zunguka tu na kuleta hoja nyingine MMEWASHUHULIKIAJE HAO WEZI?
 
Ukizipitia comments za wadau halafu ukacheck na kilichotea baadae na maoni yao wanayoyatoa hivi leo!!

Utagundua >100% ya wadau humu hawajielewi yaani wanaswagwa tu kama kondoo na wanaswagika.

Bahati mbaya mswagaji mwenyewe anajua kondoo wake ni matahira basi full kuyalambisha matabishi.

Hakuna ushabiki mbaya kama kushabikia usichokijua.
 
Kauli au maoni ya Mbowe sio ya mahakama au ati ndio hukumu. Ni kweli Lowssa hakua mchangiaji sana bungeni. Na pia hakuonyesha makucha yake hadharani ..

Sasa tumejua kuwa mfumo na desturi ndani ya CCM imekua ikiminya sana. Pia ndoto zake za kuwania urais ndani ha hicho chama ilikua inapitia vikwazo vingi sana vya kimtizamo, chuki na wivu dhidi yake. Fitna alizokuwa anafanyiwa chinichini na hadharani; ilimlazimu kuwa bubu na kutokuonyesha makucha yake.

Naweza kusema kuwa Mbowe alikua sahihi kumlaumi Lowassa. Pia hata sasa Mbowe yuko sahihi kumuita ndani ya CHADEMA na kufanya juhudi alizofanya kumpitisha agombee urais.

Siasa ni hesabu. Mbowe ameziweza.

Kila la kheri Mwenyekiti Mbowe.
 
Ukizipitia comments za wadau halafu ukacheck na kilichotea baadae na maoni yao wanayoyatoa hivi leo!!

Utagundua >100% ya wadau humu hawajielewi yaani wanaswagwa tu kama kondoo na wanaswagika.

Bahati mbaya mswagaji mwenyewe anajua kondoo wake ni matahira basi full kuyalambisha matabishi.

Hakuna ushabiki mbaya kama kushabikia usichokijua.
Mkuu asante
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom