Hata mimi nimeitumia sana hii basi ni kweli wanatoa chai kwenye vikombe vya disposable,yai na andazi.halafu bado ziko vizuri hivyo viyoyozi ni full time.mabasi ya kusini sasa hivi yapo vizuri ingawa mengine hayana tena huduma hizo
Hizi shule binafsi zina utaratibu wake na mara nyingi wakitaka kufanya jambo huwa wanashirikisha wazazi,na kinachotokea ni kwamba kila mtu huwa anataka matokeo mazuri,mzazi anaona fahari mtoto wake apate wastani wa A or B na mumililiki wa shule naye anaona fahari kwani itamsaidia kwenye...
Uchumi hauna uhusiano na exchange rate,Kwa taarifa yako sio kenya tuna wanatuzidi thamani kuna majirani kama malawi,Rwanda na Burundi hela zao zina thamani kuliko zetu.China na India thamani zao ziko chini lakini matajiri tu
Itabidi utangaze kwenye gazeti ili kutoa nafasi kwa mwenye pingamizi kama madeni na hapo uwe tayari umeshafanya tax clearance na Brella hawakudai watakupa go ahead,sio rahisi kufunga kampuni ambao ni limited maana itabidi uwe na resolution ya board ndio upeleke brella na Tra.ukimaliza process za...
Mimi nipo Dar nimelipia kifurushi cha 21,000 leo ni wiki ya pili sijaunganishwa naambiwa signal ziko chini,nimemtafuta fundi wao na yeye hadithi tu,nafikiria kuhama service ni poor sana.iweje ulipie kifurushi kuupdate iwe muda mrefu hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuwe na sababu za ufundi tunapotoa maoni,
Engine za haya magari ni cummings kutoka ulaya ila zimengenezwa China kwa standard za ulaya na ndio wanaosimamia mpaka warrant na sio wachina,
Gearbox ni voith za mfaranasa ulaya zimetengenezwa China kwa kusimamiwa na wao Ulaya.
Ni body tu na vingine...
Mimi ni mtumiaji wa haya mabasi kutoka Makumbusho mpaka Kibamba shule.Haya mabasi yakifika Mbezi mwisho ni kama yanafika mwisho wa safari. Hujipanga foleni na kuanza kujaza abiria na wewe ulietoka nalo unalazimishwa kusubiri mpaka lijae au upande basi lingine kwa nauli mpya ya 400/= au...
Mifano halisi Mimi niliibiwa Taa za nyuma ya gari yangu nikiwa nimepark nikampata nikampeleka polisi nikajua nitamkuta huko kesho yake cha ajabu nikamkuta hayupo amedhaminiwa na jirani yangu na toka siku uhusiano wangu na jirani ukaharibika
.1971 Amin Uganda alipindua serikali wapinzani wake...
Hii imekuwa danadana Mara ya kwanza 2010/11 tuliambiwa tulipie kila kiwanja 800,000 na tukapewa na bank acc ya DCB watu wakalipa na kuwekewa bicon cha ajabu tukaja hizi bicon ni feki ardhi hawazitambui baadala yake ukaja mpango urasimishaji na tukaletewa masurveyor tuwalipe 200,000 kwa kila...
Mifano halisi Mimi niliibiwa Taa za nyuma ya gari yangu nikiwa nimepark nikampata nikampeleka polisi nikajua nitamkuta huko kesho yake cha ajabu nikamkuta hayupo amedhaminiwa na jirani yangu na toka siku uhusiano wangu na jirani ukaharibika
.1971 Amin Uganda alipindua serikali wapinzani wake...
Ndugu pole ni vitu vya kawaida na hamna mwenye guarantee kwa kazi za kuajiriwa kuacha na kusimishwa ni kitu cha kawaida kabisa kimaisha.
Inategemea umeacha kazi mazingira gani either ni termination ambayo baadaye watakulipa au umeacha mwenyewe kutokana na mazingira ya kazi. Cha muhimu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.