Usafiri Dar - Mtwara, King Yassin Tours hongera

Usafiri Dar - Mtwara, King Yassin Tours hongera

Habari wana JF,

Moja kwa moja nijikite kwenye mada.

Hivi karibuni nilipata safari ya kwenda Mtwara kutokea Dar. Nilifurahishwa na huduma za kampuni ya mabasi ya King Yassin Tours.

Kila kituo tulichosimama abaria tulitangaziwa kupitia kipaza sauti kilichopo ndani ya basi. Tulipewa huduma ya chai, vitafunwa pamoja na vinywaji humo humo ndani ya basi. Wafakazi waje wanaamini abiria na hata tulipofika mwisho wa kituo (Mtwara) abiria tuliombwa radhi endapo tuliona mapungufu yeyote.

Abaria tulipata huduma nzuri kwa nauli sawa na mabasi mengine. Hili ni fundisho kwa kampuni za mabasi mengine. Waache kufanya kazi kwa mazoea. Waige kampuni mpya ya King Yassin Tours.

MUHIMU: Sina maslahi yeyote na kampuni hiyo bali kama abiria nimefurahishwa na huduma zao. Hongera King Yassin Tours mnajua kufurahisha wateja
Hilo la abiria kuimbwa radhi mwisho wa safari kama wameona mapungufu inaweza kuwa basi ya kwanza Tanzania kufanya hivyo, hongera zao maana hata Air Tanzania hawafanyi hivyo.
 
Habari wana JF,

Moja kwa moja nijikite kwenye mada.

Hivi karibuni nilipata safari ya kwenda Mtwara kutokea Dar. Nilifurahishwa na huduma za kampuni ya mabasi ya King Yassin Tours.

Kila kituo tulichosimama abaria tulitangaziwa kupitia kipaza sauti kilichopo ndani ya basi. Tulipewa huduma ya chai, vitafunwa pamoja na vinywaji humo humo ndani ya basi. Wafakazi waje wanaamini abiria na hata tulipofika mwisho wa kituo (Mtwara) abiria tuliombwa radhi endapo tuliona mapungufu yeyote.

Abaria tulipata huduma nzuri kwa nauli sawa na mabasi mengine. Hili ni fundisho kwa kampuni za mabasi mengine. Waache kufanya kazi kwa mazoea. Waige kampuni mpya ya King Yassin Tours.

MUHIMU: Sina maslahi yeyote na kampuni hiyo bali kama abiria nimefurahishwa na huduma zao. Hongera King Yassin Tours mnajua kufurahisha wateja
Hongera zao
 
Kila siku napanda hzo gari ila cjawahi kuona wakigawa chai. Apa umeongopa

Suala la kutangaza kila kituo ni kweli ila kuhusu chai uongo
Wanatoa chai, andazi moja na yai mkuu. Gari ya asubuhi sijajua kama gari ya mchana inakuwa hivyo hivyo au lah.
 
Hapo kwenye chai ume tufunga kamba ila vingine vyote ni ukweli mtupu
Habari wana JF,

Moja kwa moja nijikite kwenye mada.

Hivi karibuni nilipata safari ya kwenda Mtwara kutokea Dar. Nilifurahishwa na huduma za kampuni ya mabasi ya King Yassin Tours.

Kila kituo tulichosimama abaria tulitangaziwa kupitia kipaza sauti kilichopo ndani ya basi. Tulipewa huduma ya chai, vitafunwa pamoja na vinywaji humo humo ndani ya basi. Wafakazi waje wanaamini abiria na hata tulipofika mwisho wa kituo (Mtwara) abiria tuliombwa radhi endapo tuliona mapungufu yeyote.

Abaria tulipata huduma nzuri kwa nauli sawa na mabasi mengine. Hili ni fundisho kwa kampuni za mabasi mengine. Waache kufanya kazi kwa mazoea. Waige kampuni mpya ya King Yassin Tours.

MUHIMU: Sina maslahi yeyote na kampuni hiyo bali kama abiria nimefurahishwa na huduma zao. Hongera King Yassin Tours mnajua kufurahisha wateja
 
Mwaka 2000 barabara ya Lindi ilikuwa ni mbaya sana , tena muda wa masika ilikuwa inafunga kabisa
Lindi Kama ukombozi.miaka ya 2013 14 na mabasi mazuri yalianza 2015 Kama sikosei
2008 nimepanda gari ina choo ndani, from Mtwara to Dar. Bado kulikuwa kuna gari luxury kama Mtwara raha, Summry pia zilikuwepo. Labda useme michina but classic cars zilikuwepo.
 
kwahiyo mkuu king yasin tour WALIKUFURAHISHA!
 
Hao jamaa wanajitahidi kwa huduma , kusini mikoa ya mtwara na Lindi bado kunahitaji ukombozi mkubwa sana kwa biashara ya abiria maana ni kama ndo wanaaanza.

Abiria kule hana haki zake za msingi , kumbuka hawana hata Miaka 10 ya mabasi mazuri ,kwa sababu njia ilisumbua sana kule,
Usishangae unapanda Basi halafu konda anakuomba pesa ya begi ulilobeba Kama mzigo mbali na nauli .
Hii yakuombwa pesa ya begi mimi ilishanitokea na nikagoma
Hila kusini
 
King Yassin bado ni kampuni changa kusini, Inabembeleza wateja waiamini,

Kuna kitu Maning ning, Maning Nice huyu ndiyo mwamba wa kusini, Gari hata iwe na abiria watano muda wa kuondoka ukifika Haina kulemba Pira linawashwa linatembea.

Hasa root ya Mtwara Morogoro. Braza hizi siyo enzi za kusifia chai Bali muda. King Yassin, Bado Bora hata Buti la zungu , Ila Maning Nice Babalao.View attachment 1680672 Cheki pira Hilo kibati kiasi chake mchawi tochi.

Kuna mdada anaitwa Halima anang’oa mihogo balaa ana gari inaitwa “MAMA LAO” Weka mbali na watoto
 
Huu ujinga hata super feo alikua nao zamani ...kuna siku tulivimbiana na konda japo mzigo haukuwa begi la nguo,,konda anata elfu 70 kwa kiroba cha dagaa cha kilo 25,mimi nikamwambia natoa 10 tu.Mzigo upo chini gari zimeruhusiwa msamala mimi nimegoma kupanda kama mzigo haupandishwi...dereva anapiga tu honi oya pandeni mpaka trafki akaja pale anauliza vipi mbona mnawachelwesha wenzenu...nilipomwambia trafki alijibu jibu moja tu "we konda acha tamaa amelipa nauli elfu 46 na mzigo ana ulipia 10 ,pakia mzigo muende"

Alinimaindi sana yule jamaa lakini mbele ya safari tukawa marafiki stori zilinoga manaa nilikaa siti ya kwanza upande wa konda.
Hao jamaa wanajitahidi kwa huduma , kusini mikoa ya mtwara na Lindi bado kunahitaji ukombozi mkubwa sana kwa biashara ya abiria maana ni kama ndo wanaaanza.

Abiria kule hana haki zake za msingi , kumbuka hawana hata Miaka 10 ya mabasi mazuri ,kwa sababu njia ilisumbua sana kule,
Usishangae unapanda Basi halafu konda anakuomba pesa ya begi ulilobeba Kama mzigo mbali na nauli .
 
Kila siku napanda hzo gari ila cjawahi kuona wakigawa chai. Apa umeongopa

Suala la kutangaza kila kituo ni kweli ila kuhusu chai uongo
Kwahiyo kuhusu chai nayo ni chai?
 
Huu ni uongo, basi za King Yasin ni mpya kabisa, na alichokisema mtoa mada ni kweli tupu, I can confess ingawa ninachofaham kuhusu vinywaji ni soda/maji pamoja na bites, chai hapo katia chumvi unnecessarily!
Hiyo kampuni nyingine kule Mtwara haifanyi vizuri sana na ndiyo maana inapeleka wilayani.
I can tell you, Mtwara mjini kwa mfano, gari likianza kuchoka, sahau kupata abiria. King Yasin gari zake zote ni mpya, the same with Buti, Machinga and Baraka
Mkuu mimi naongelea gari za maning sio king yasin
 
Hata mimi nimeitumia sana hii basi ni kweli wanatoa chai kwenye vikombe vya disposable,yai na andazi.halafu bado ziko vizuri hivyo viyoyozi ni full time.mabasi ya kusini sasa hivi yapo vizuri ingawa mengine hayana tena huduma hizo
 
Hii yakuombwa pesa ya begi mimi ilishanitokea na nikagoma
Hila kusini
Mkuu umenikumbusha mbali, mwaka 2013 nilihamishiwa kikazi Wilaya ya Newala kutoka DSM, mwanzo nilichanganyikiwa, lakini nikajiambia lazima nipambane, nikakwea mchuma uliitwa MAHUTA EXPRESS ukianzia safari zake Mbagala, humo ukiacha wenye siti, abiria walisimama mistari kila mmoja anageukia upande, kila begi na bei yake!

Kipindi hicho mvua na barabara ya lami haijakamika Somanga-Mhoro-Nangurukulu ni tope! (jina nililokuwa nalisikia akitamka JPM akiwa waziri wa Ujenzi). Baada ya barabara kukamilika, huduma ya usafirishaji iliimarika, nakumbuka IBRA Line alikuwa wa kwanza ku-'operate' basi Jipya YUTONG Full AC.

Baada ya kuhama huko, nimepita mwezi uliopita kutoka Songea-Masasi-Lindi-Dar sikuamini, Natamani kurudi kuwasalimia wenyeji wangu wa Newala, ni watu wema sana. Big up Cap. (Rtd) Mkuchika, The Legend!
 
Back
Top Bottom