Vituko vya Kagame: Je, ni mpango wa CIA kuiua East African Community?

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Messages
4,970
Points
2,000

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined May 24, 2018
4,970 2,000
Huyu bwana Kagame hivi sasa ni mwenyekiti wa East African Community, Yeye ndiye mlezi mkuu wa hii jumuia
Hata hivyo cha ajabu badala ya kubehave kama Mlezi namba moja wa hii jumuia yeye ndiye kinara wa migogoro kwa wanachama wake.
Burundi imekuwa ikilalamika mara kibao kuwa Kagame analeta chokochoko ndani ya Jumuia, Burundi imelalamika sana kwa wajumbe na kuwaomba waingilie kati ili Kagame aache chokochoko zake. Hata hivyo inaonekana viongozi wengine wa East Africa walikuwa bado katika usingizi mzito wa hii hali!.

Hatujakaa sawa, Bwana Kagame keshaanza ugomvi na mzee Mseveni!. Yaani mwenyekiti wa East African Community badala ya kuwa wa mwisho kuingia katika chokochoko yeye amekuwa msitari wa mbele kurushiana maneno na kuzinguana na mjumbe wake!. What is going on here?. Kagame ni mwenyekiti huyu, Mwenyekiti wa jumuia yetu adhimu.

Kwa jinsi anavyobehave huyu Kagame, anabehave as if ni Agent wa Imperialists wasiotaka kuona kuna Tangible African Federation yenye sauti imara duniani!.

Ndugu zangu Wakubwa hawa wa Dunia kamwe hawataruhusu Umoja wa nchi za Kiafrika weney nguvu, au litokee Taifa kubwa moja lililoungana ndani ya Afrika lenye sauti na nguvu moja kamwe hawatokubali!

Kwa jinsi East African Community inavyokwenda, tayari ilishawashtua wakubwa wa dunia kuwa hiki kitu wasipokiua au kukimanage mapema ile relaity ya Africa moja iliyoungana au kutokea kwa Taifa moja lenye nguvu ndani ya Africa inaweza kutokea!, Just imagine Somalia wameomba kujiunga, DRC wanaomba kujiunga na nchi kibao Wanafikiria kujiunga, Picha gani unayoiona hapa?. TAIFA MOJA KUBWA NDANI YA AFRIKA LILIKUWA LINAANZA KUJIJENGA!!.

Sasa kaja huyu jamaa ambaye dunia nzima inajua anaungwa mkono na Marekani, badala ya kutuunganisha wana East Africa yeye anatugawa!. Huyu Jamaa je yupo kwenye payroll ya CIA ili atumike kukwamisha ndoto za kuwa na Taifa moja kubwa ndani ya Africa?

Kipindi kile tulipokuwa Watatu tu, Uganda, Kenya na Tanzania tulikuwa tukienda vizuri sana, na pia kipindi Rwanda inaomba kujiunga kuna watu walipinga sana, Walipinga si kwa sababu ya kuwakataa Wanyarwanda, bali ni kwa sababu ya aina za watu kama Kagame na Militaristic mentality zao!.

Mimi simwamini Kagame, huyu huenda ni Mole wa CIA na nchi za mabeberu kuuvunja umoja wa East Africa!. Otherwise kwa nini kila ugomvi ndani ya East Africa awe na mkono wake?, Uganda yeye, Burundi yeye, Kongo yeye!, Come on What is wrong with you Kagame?
 
Detective J

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
10,321
Points
2,000

Detective J

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
10,321 2,000
Haha CIA? Realy? Kagame ana interest zake binafsi yeye kama yeye. CIA awawez angaika na kesi za nyani na ngedere kama hizi.
Anyway narudia tena ni influence zake mwenyewe wala si za CIA wala mashirika mwngine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
3,565
Points
2,000

mulwanaka

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
3,565 2,000

Mkuu unalo sema uenda linaweza kua naukweli ndani yake.....Ila shirika lenyewe lina interna problems nyingi ambazo haliwezi kufanikisha kamwe, M7 alikua mstare wa mbele kuhakikisha Rwanda anajiunga pamoja na Burundi kwa faida zake kama m7 sio Ug, lakini Sudani kabla haija gawanyika iliomba mara tatu kujiunga elikataliwa, sasa amazing 'war locked' Sudani kusini ulivo omba Ug na Ky walimuuga mkono na akajiunga kwa faida yao ya biashara sio kwa Tz, haraka Somalia imeomba kila mwaka wameikataza kwa sababu ambazo hata hazieleweki. Ecowas imekua successful kwasababu hawana ubaguzi wa Dini wa kikanda na wa kisiasa wanatanguliza biashara na faida kwawana chama wote wameunda jeshi Ecomogo linawasaidia kupambana na madictetor na military coup.....wewe naomba ujiulize CIA ipambane na the (dieing EA community) iache Ecowas Sadac ambao hazina political and internal fighting?.......hapana Kagame ana inferior complex hajamini kama ni Raisi sahihi wa Rwanda.Sent using Jamii Forums mobile app
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Messages
4,970
Points
2,000

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined May 24, 2018
4,970 2,000
Mkuu Missile of the Nation na mimi nilikuwa na mawazo kama yako, sasa badala ya watu kujadili kwa faida ya EAC watasema tunamwonea wivu.
Slim man PK kuna high probability yuko kwenye payroll ya CIA kuvuruga huu umoja usiende popote!

Lazima tujue kuwa Marekani iko nyuma ya huyu jamaa, na ndiyo maana imemfumbia macho kwa matendo yake ya kuchezea katiba ya rwanda au operations mbalimbali alizoziendesha huko Congo.

Possibility ya kutumika ili kuvuruga hii movement ya East African Community ni kubwa!
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Messages
4,970
Points
2,000

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined May 24, 2018
4,970 2,000
Mkuu unalo sema uenda linaweza kua naukweli ndani yake.....Ila shirika lenyewe lina interna problems nyingi ambazo haliwezi kufanikisha kamwe M7 alikua mstare wa mbele kuhakikisha Rwanda anajiunga na Burundi kwa faida zake kama m7 sio Ug, lakini Sudani kabla haija gawanyika iliomba mara tatu kujiunga alikataliwa Sudani kusini ulivo omba Ug na Ky walimu sapoti anajiunga haraka Somalia emeomba kila mwaka wameikataza kwa sababu ambazo hata hazieleweki, Ecowas imekua successful kwasababu hawana ubaguzi wa Dini wa kiwanda na wa kisiasa wabatanguliza biashara ba faida wameunda jeshi Ecomogo linawasaidia kupambana na madictetor na military coup.....wewe naomba ujiulize CIA ipambane na EA iache Ecowas Sadac ambao hazina political and internal fighting?.......hapana Kagame ana inferior complex hajamini kama ni Raisi sahihi wa Rwanda.Sent using Jamii Forums mobile app
Movement ya East African Community ni tofauti na Ecowas, Ecowas ni kama SADC tu!.
East African Community inataka kuwa Federation, Yaani Nchi moja, na road map ipo, Wimbo mmoja wa Taifa upo, Yaani vitu vichache tu vimebaki ili tuungane tuwe nchi moja!, Sasa tukiwa nchi moja maana yake tuna sauti moja kwenye jumuia ya Mataifa, hivi vinchi vidogo vidogo mara nyingi vinachezewa chezewa kiurahisi na mabeberu.
 
Imapro

Member
Joined
Apr 18, 2012
Messages
73
Points
125

Imapro

Member
Joined Apr 18, 2012
73 125
Mifano halisi Mimi niliibiwa Taa za nyuma ya gari yangu nikiwa nimepark nikampata nikampeleka polisi nikajua nitamkuta huko kesho yake cha ajabu nikamkuta hayupo amedhaminiwa na jirani yangu na toka siku uhusiano wangu na jirani ukaharibika
.1971 Amin Uganda alipindua serikali wapinzani wake akina mseveni wakahifadhiwa Tanzania na Nyerere kilichotokea wapinzani wakaanza kuishambulia Ikulu ya Uganda kutokea Tanzania uhusiano ukazorota na hatimaye vita kati ya TZ na Uganda 1978.Vile vile mahusiano yetu na Malawi na DRC hayakuwa mazuri kwa sababu hizi. Na Rwanda inapitia mkondo huu majirani wanaohifadhi wabaya wake lazima wagombane tu
Jirani mzuri kwake ni only TZ.Vita ni last option na huchukua muda mfupi kwisha ila madhara huwa wakubwa kwa biashara za wananchi mipakani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Detective J

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
10,321
Points
2,000

Detective J

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
10,321 2,000
Kwann madudu ya waafrika mnataka kuwatupi wazungu. Mnamlaumu mmarekan lakin mnasahau jambo moja. "INTEREST".
Interest za america hapa ni zipi?
What is sio CIA ni mashirika mengine maana si CIA tu wenye power.. wapo big players pia..?

Bibafsi siamini kama kagame anatumika. Ila naamikni kagame ana interest zake mwenyewe. Yeye kama yeye
Slim man PK kuna high probability yuko kwenye payroll ya CIA kuvuruga huu umoja usiende popote!

Lazima tujue kuwa Marekani iko nyuma ya huyu jamaa, na ndiyo maana imemfumbia macho kwa matendo yake ya kuchezea katiba ya rwanda au operations mbalimbali alizoziendesha huko Congo.

Possibility ya kutumika ili kuvuruga hii movement ya East African Community ni kubwa!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwanadome

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
3,959
Points
2,000

mwanadome

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
3,959 2,000
Waafrika akili zetu sijui Zina nini aiseee, yani kila tunapo shindwa kufanya jambo lolote lile lawama lazima watupiwe wazungu.au hata tukifanikisha jambo lolote lile mzungu lazima awe amehusika.

Hivi utata wa kagame umeanza leo? . na si hao hao viongozi wanzake waliokua wanamshangilia miaka yotee. Sifa kuu ya viongozi wa kiafrika ni kuteteana hata kwa mambo ya kipumbavu kabisa.leo hii kagame ni rafiki kipenzi wa mzilankende na wanaojiona ni wazalendo namba moja wanachekelea tuu.

Kwa sababu zozote zile pk hafai kua Katika jamii ya waliostaarabika.hafai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
3,565
Points
2,000

mulwanaka

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
3,565 2,000
Movement ya East African Community ni tofauti na Ecowas, Ecowas ni kama SADC tu!.
East African Community inataka kuwa Federation, Yaani Nchi moja, na road map ipo, Wimbo mmoja wa Taifa upo, Yaani vitu vichache tu vimebaki ili tuungane tuwe nchi moja!, Sasa tukiwa nchi moja maana yake tuna sauti moja kwenye jumuia ya Mataifa, hivi vinchi vidogo vidogo mara nyingi vinachezewa chezewa kiurahisi na mabeberu.
Mkuu huwezi kuenda katika political federation bila kupitia hatua muhimu kama common market free movement of labour common custom union single currency single passport free movement of people on the borders single parliament single military force single budget.....kwahiyo hivo ni vitu muhimu kabla ya political confederation.....sasa my swali ni katika ya hao yote nitajie mawili tulio kamilisha kwa 90% Ili CIA ikose usingizi na ipangi homicidal dictetor Kagame aivurunge EA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Messages
4,970
Points
2,000

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined May 24, 2018
4,970 2,000
Mkuu huwezi kuenda katika political federation bila kupitia hatua muhimu kama common market free movement of labour common custom union single currency single passport free movement of people on the borders single parliament single military force single budget.....kwahiyo hivo ni vitu muhimu kabla ya political confederation.....sasa my swali ni katika ya hao yote nitajie mawili tulio kamilisha kwa 90% Ili CIA ikose usingizi na ipangi homicidal dictetor Kagame aivurunge EA.

Sent using Jamii Forums mobile app
CIA hawangalii leo, wanaangalia miaka10, 20, 50, 100 mbele
 
Forum statistics

Threads 1,389,665
Members 527,997
Posts 34,031,421
Top