Recent content by Imanyara

  1. I

    Aliyeshinda kura za maoni CHADEMA Kalenga awekwa kiporo, Grace Tendega kupambana na CCM

    Huyu Mama anapendwa sana?ebu tukumbushe mwaka 2010 alipata kura ngapi?
  2. I

    Aliyeshinda kura za maoni CHADEMA Kalenga awekwa kiporo, Grace Tendega kupambana na CCM

    Hilo swali muhimu sana.Na anayekubalika alishindwaje?
  3. I

    CHADEMA tumeshindwa Vibaya Uchaguzi huu, Tunahitaji tathmini ya kitaalamu…

    Ata mie nilikuwa na mawazo kama yako zamani,kwamba Watanzania wanaichagua CCM kwa sababu hawajitambui,lakin with time nimekuja kugundua kuwa hawa Watanzania kumbe wana akili kuliko tunavyowadhania na ndio maana wanapopewa chongo(CCM) na kipofu(Chadema) wameamua ni heri wachague chongo. Siku...
  4. I

    GE2015 Kamanda Mawazo: Tumepigwa tena, mwenzetu anaweza kufa wakati wowote!

    Hapa ndipo mlipochemka,mtu yeyote mwenye akili atajua mnacheza igizo maana haiwezekani mshambuliwe nyie alafu na hizo silaha za kushambuliwa muwe nazo nyie. Tatizo la michezo hii ya kitoto ni kuwatoa kafara wenyenu,na kwa jinsi ulivyoandika "mwenzetu anaweza kufa wakati wowote",kauli hii...
  5. I

    Mbeya Mjini: Kiboko ya Sugu 2015 ni Mbuzax

    Ni ngumu sana kwa Mbuza kumshinda mtu kama Mary Mwanjelwa ndani ya CCM,ila either awe Mbuza au Mary Mwanjelwa,Sugu ana kazi ngumu sana kurudi Bungeni.
  6. I

    Nchemba Kupata aibu kesho Musoma Mjini

    Namkubali Mwigulu kwa juhudi zake za kukitumikia chama chake lakin kwa kuwa sasa ni Naibu Waziri nadhan ni vyema kwake sasa kudeal zaidi na masuala ya kiserikal,na kwa kuwa kesho ni jtatu nilitegemea awe ofisini.
  7. I

    Kanisan kuitwa majina na kubandika notes board wanaotoa na wasiotoa mafungu ya kumi

    Biblia yangu inaniambia "utoapo sadaka ata mkono wako wa kushoto usijue kile mkono wa kulia ulichotoa";kinyume cha hapo ni unafiki.Sasa hao wanaoweka na majina kabisa sijui wanatumia maandiko gani. ILA kama mlikubaliana kama KUNDI/KANISA KILA MMOJA kutoa fedha kwa ajili ya kusudio...
  8. I

    Live: Kutoka Mbamba bay mkutano wa Dk. Slaa

    hakuna mtu mwenye akili timamu atakayebisha kuwa mkutano wowote utakaofanyika Mbambabay tena mhutubu akija na helkopta utapata wahudhuriaji wengi,Kumbuka leo ni siku ya kihistoria kwa wengi huko kuona hiyo helkopta,na by the way wasipoenda mkutano huu watapoteza muda wapi?
  9. I

    Albert Msando: Hatushindani na chama au wanachama wa CHADEMA

    Mushi!!watauwaje chama wakati sasa kesi imerudishwa kwenye chama ili wenye chama(Baraza Kuu) waimalize.Kama Zitto hatakiwi si Baraza Kuu litamfukuza tu na mambo yanaisha.Ila ukiona watu(Viongozi) wanaogopa kuitisha Baraza Kuu ujue kuna tatizo...wanaogopa nini?
  10. I

    Hongera HALIMA MDEE umeonyesha ukomavu

    Hujui kuwa Chadema waliukana waraka ule kuwa ni feki?tafuta hiyo habari.
  11. I

    Hongera HALIMA MDEE umeonyesha ukomavu

    Haijalishi kura yake kwenye CC ilikuwaje,ila kukaa kimya kwenye "umma" kwenye situation kama hii ni ushindi kwa mwanasiasa yeyote makini. JK alipata kuwaasa vijana na ninakubaliana naye kwenye hili"Mkitaka mfanikiwe kwenye siasa,tengenezeni marafiki lakini katu msirithi maadui wa marafiki...
  12. I

    Jaji Makaramba atajwa kuandaa kesi ya Zitto.

    Please tuondoleeni huo uchafu walioutoa kwenye udaku forum Ebu ilindeni heshima ya JF
  13. I

    Hongera HALIMA MDEE umeonyesha ukomavu

    Mnyika hakupaswa kujiingiza kwenye hili.hakuwa na sababu ya kujiweka kwenye level ya akina Lema,Msigwa na Sugu.Ni kujidharirisha. Bila kujua,amejishushia heshima katika hili.
  14. I

    Hongera HALIMA MDEE umeonyesha ukomavu

    Naungana nawe kumpongeza Halima Mdee kwa hili.Amejijengea heshima kubwa sana.
Back
Top Bottom