Recent content by Imaniyanguitaniponyatu

  1. Imaniyanguitaniponyatu

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Argentina haendi popote mexico hamuwezi, poland ndo ataolewa damu
  2. Imaniyanguitaniponyatu

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Huyo Mandonga ndo alisema utawala wa Klopp na Pep ndo anaumaliza kwa njia hii?
  3. Imaniyanguitaniponyatu

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ten hugs atakumbatiwa na kila timu hapo mechi mbili mnacheza na timu zilizopanda daraja msimu uliopita hamjakutana na hao kina YESU mtakufa.
  4. Imaniyanguitaniponyatu

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mkumbuke pakti la kwanza imebaki moja, mnaenda maliwato mnakagua kama haijapata michano mnarudi tena kufunguliwa pakti nyingine. MAN UTD 4 -O LIVERPOOL
  5. Imaniyanguitaniponyatu

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hamjasajili, au uchaguzi mbaya wa wachezaji wa kusajili,ilikuwa hamna maana ya kuleta Eriksen wakati mna BRUNO kwanini asikomae kutafuta DM kwingine hata kama De jong amewachomolea, Ten Hugs na yeye ana tatizo tu hapo Man U anaonekana mtu wa akisema jambo hataki ushauri.
  6. Imaniyanguitaniponyatu

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    TEN HUGS kayakanyaga ameomba lift mtumbwi wa vibwengo
  7. Imaniyanguitaniponyatu

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Nunyez liverkuku mmepata mtu sana anajua kujiposition sana.
  8. Imaniyanguitaniponyatu

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    CHONG AUZWE USIKU HUU HUU TU
  9. Imaniyanguitaniponyatu

    Ndege ya Precision yazimika injini ikiwa angani

    Dakika 370 inaweza kuwa kweli, fikiria ndege ipo katikati ya hahari Atlantic inatoka South America kuja Africa halafu injini ifeli masaa mawili hayawezi tosha kuifikisha nchi kavu itue
  10. Imaniyanguitaniponyatu

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kama ni mchango wa timu nzima sasa tuseme wachezaji wa chelsea ni bora kuliko wa kipara?
  11. Imaniyanguitaniponyatu

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    PL na UEFA ni ipi medali kubwa kwa upande wako?
  12. Imaniyanguitaniponyatu

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Na ifahamike Sarr ana medali ya UEFA,
  13. Imaniyanguitaniponyatu

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kwa huyu Nunuz, tumepata Magwaya wa mbele, bora tubadilishane Man U watupe Magwaya aje awe straika sisi tuwape NuNuz akawe beki maana majukumu yanaingiliana
Back
Top Bottom