Recent content by imani ernest

  1. imani ernest

    Ujumbe huu wa Makonda unamlenga nani?

    Huyu jamaa ni mkubwa sana!! Hilo koti la u RC amevikwa tu ili kupunguza makali ya nguvu zake,jana mh PM ameishia ku hit around the bush! Hathubutu kumtaja kwa jina Sent using Jamii Forums mobile app
  2. imani ernest

    Serikali: Wakuu wa Mikoa na wilaya waache kutoa matamko kuhusu Corona

    Bashite kiboko!!! Watu na vyeo vyao lakini wanaogopa hata kumtaja jina!! Makonda ni jina lipitalo majina yote wallah. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. imani ernest

    If your son doesn't hate this thing, he is probably not a real man

    Moshi mjini? Au vijijini? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. imani ernest

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dtk. Kigwangalla amtuhumu aliyekuwa Meya wa Iringa, Alex Kimbe kwa ujangili baada ya kuua chatu

    Kosa gani bashite? Yaani kuua nyoka anayekuwinda ili akudhuru ni kosa kisheria? Mbona hata kuua binaadamu inaruhusiwa iwapo anaweka maisha yako au ya mali yako hatarini? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. imani ernest

    Overrated na Underrated

    Me? Nonrated Sent using Jamii Forums mobile app
  6. imani ernest

    Marekani yatoa msaada wa Dola Milioni Moja kwa Tanzania kukabiliana na COVID19

    Wengi wanayo,ila hawana huo moyo wa kutoa,urusi wanatoaga misaada isiyo ya kijeshi? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. imani ernest

    Mahakama yataifisha bilioni 16.5 kuwa mali ya Serikali

    Kampeni zinakaribia Sent using Jamii Forums mobile app
  8. imani ernest

    Freeman Mbowe aheshimiwe

    Baba mwenye mjukuu unamuita "kitoto" halafu unauliza eti nani kamvunjia heshima? Ulipokuwa unamtetea kikwete kwa nguvu zote kuna mtu alikuuliza kama wewe ni mkwere? Kibibi kisicho na busara ni sawa tu na kisichana kimala----! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. imani ernest

    Hivi nikimuacha huyu mwanamke nitakuwa nimekosea?

    Cha ajabu hakuna nan hapa!!! Ila sisi tukisema tu neno kumbaff tunacharazwa bana ya wili mbili Sent using Jamii Forums mobile app
  10. imani ernest

    Hongera Madaktari na Manesi wa Hospital ya Kaloleni - Arusha

    Mh Sent using Jamii Forums mobile app
  11. imani ernest

    Tetesi: 5g network ndio Corona

    Kama corona ni 5G basi ukimwi ulikuwa ni 4G!! Sema tu mitume na manabii wetu wa haya makanisa ya maturubali walionywa na mungu wasiseme,ila walikuwa wanajua hilo kitambo. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. imani ernest

    Senator John McCain kutoendelea na matibabu ya saratani ya ubongo

    Samehe tu bure mkuu,kuna mahali huko masaini ukiacha rolls royce lako baadaye utakuta tyre zote hakuna,wanaenda kutengeneza masendeu (kata mbuga) hivyo vingine havina thamani kwao!
  13. imani ernest

    Kesho naanza safari yangu ya kwenda jijini Tanga

    Safari yako imeanza na mafanikio mkuu! Yaani ile tu unaingiza mguu unakutana na Paja la kuku mzungu wa kienyeji! Nakuja mkuu!
  14. imani ernest

    Wairaqw wa JF.

    Hawa wamewazidi wahaya kwa mbaaaaaaaali mnoooo!! Yaani mu iraqw akikunyima hama mji,utakuwa umechezewa na wachawi!
Back
Top Bottom