Recent content by imani emanuel yonafika

  1. I

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kufanya mapenzi daily kwa wanandoa?

    Iko poa ni uhuru wenu ila shida inaanziaga hapo
  2. I

    JamiiForums Tanzania Kitwanga aikosoa Serikali ujenzi wa Reli

    Kudaadek kumbe hawanaga mipango wanakurupukaga haya bombaider lkn lisu nilimsikiaga akiwapondaga na bombaidaga yao sasa mtabir yupo ubelgij utabir umetimia lait angekuwpo da tungekuwa tushapewa milion50 kila kjj
  3. I

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 7 Wafukuzwa Chuo Kikuu Cha Kiislamu Morogoro kwa kujihusisha na Mapenzi

    Huwez kumshikia mtu mzima fimbo ili asitende dhambi
  4. I

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kununua nyumba zinazouzwa na benki ni ipi?

    Da kuna mama mmoja anasema akikaa ndani anafunga milango yote madirisha yote mapazia yote akisinzia kidogo anakuta kila kitu kipo waz sasa hv kapanga chumba cha giza uswahilin chezea mnada house weye
  5. I

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza piki piki fekon power 150,iko vizuri bado. (used)

    Da kumbe kuna wateja humu jana nimeiza kpkpk kangu kapuakapya bei che ningejus ningesnzia humu
  6. I

    JamiiForums Tanzania Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

    Kumbe na niny mnachaguaga kanhandsomw
  7. I

    JamiiForums Tanzania Fundi Ujenzi anahitajika

    Haha kod imekushinda mkuu unataka mpaka mwisho wa mwez na tanesco washavuta au cio
  8. I

    JamiiForums Tanzania Nikioa sitashika simu ya mke wangu.

    Du hio haiwezekan
  9. I

    JamiiForums Tanzania Meseji (SMS) za dawa za Kiganga: Je, hawa ni matapeli? TCRA mko wapi? Namba wanatoa wapi?

    Et zile ndangu zimekutajirisha c umeona mwambie na kaka yako aje nitamsaidia mh wakat huo napambana na hali yangu et mtu ananiambia ndangu zake zimenitajirisha hawa waganga wa ccm hawa da
  10. I

    JamiiForums Tanzania Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

    Unajua mnapokutana wawil kila mtu ana akili zake amelelewa kivyake sasa mmoja kumfanya mwingine awe sawa nae ni vigum sana nasema uc4c 2f8
  11. I

    JamiiForums Tanzania Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

    Haha hata huku kakimbia nipo single kuliko maelezo nimebaki baba tu
Back
Top Bottom