Recent content by Imaam

  1. I

    Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

    Anachoongea ni ch kweli, na ndio maana wanaotajwa hawathubutu kuinua midomo
  2. I

    Billioni 48 upotevu - Uchaguzi??? Chama twawala?

    Ni kweli CCM ni mabigwe wa kufuja fedha, mi nakubali kabisa kuna jamaa namjua amelipwa 1.6 bilion kwa ku supply kivazi kimoja ambapo sasa ivi hakina kazi.
  3. I

    The other side of Jeetu Patel

    mimi wasi wasi wangu ni namna walivyokutana mahakamani mpaka akumelezea yote hayo, maana ni vigumu mtu kukutana naye kwa mara ya kwanza na ya pili halafu akaelezea stori hiyo ni ngumu, Halafu Jimmy B alionekanaje mahakamani mpaka jeetu alivyokutana mara ya pili akamuuliza kama noi newsman kwa...
  4. I

    Makamba: niko tayari kujibu matusi mkinihitaji

    anamaanisha anaenda kuwaandalia mafisadi chama kipya ili wakifukuzwa CCM, waende kwenye hicho chama
  5. I

    Shitambala wa Chadema Mbeya ahamia CCM - Chadema kuchukua hatua za kisheria

    hiyo prosecution itakuwa ya kijinai au kimadai, kama ni rushwa obviously ni kijinai sasa DPP atakubali kutoa kibali kwa CDM ku prosecute, mi nakubaliana na LAT ni busara kumuacha tu huyu jamaa alijawa na tamaa
  6. I

    Jamani mtu huyu kalikosea nini Taifa

    Tatizo la EL alivyokuwa PM alikuwa much know alikuwa anataka kumpiku boss wake
  7. I

    Kikwete amuita Lowassa kwa mazungumzo ya siri!

    JK ni mjanja anataka kumueleza yatakayotokea hivyo EL na matokeo hayo na kujaribu kumtuliza huyu EL kwa kumuahidi mazuri baada ya maamuzi yatakayokuja yaani maana yake ni changa la macho kwa wananchi tuone kama JK kawatosa kumbe wana mambo yao
  8. I

    Hivi Hii Ya Marando Imekaaje?

    waelimishe hao wao wanafikri wakili kazi yake ni kutetea tu, hawajui kama yeye ni ofisa wa mahakama kusaidia kuilekeza mahakama katika kufikia uamuzi wa haki.
  9. I

    Mwali: Mmiliki wa DOWANS ni huyu!

    Huyu jamaa inabidi awekwe detention ya ghafla atafutiwe kijiji kimoja awekewe ulinzi bila ya mawasiliano yoyote kwa muda wa miaka 5 kuhakikisha network yake yote imeisha akitoka hapo afukuzwe nchini,wakati huo huo mali zake zifilisiwe.
  10. I

    Serikali inapokumbuka shuka asubuhi

    Yaani sisi watanzania kweli ni mazuzu, serikali hiyo ilisema kwamba lazima ilipe dowans iisaidie tanesco kupinga application ya dowans ni janja tu, serikali na wabunge wa ccm, wote wanajua kwamba there is no loophole in legal techinicaliteis kuepuka kutolipa hilo deni sasa baada ya kuona watu...
  11. I

    UVCCM walitumwa kutoa tamko

    hiyo ni janja ya ccm, kuwaagiza wanachama waona jumuiya zao kutoa mawazo tofauti ili wawazubaishe wadanganyika aagh nimekosea watanzania kama kawaida yao na watanzanzania wawaone kumbe ni kweli wanatetea maslahi yao kumbe ni zuga
  12. I

    ni nani ambaye amenza maandalizi ya kugombea uraisi katika ccm?

    Juu natania,serious ni nchimbi maana na mbio hizo amezianza kwakupanga safu za junuiya za ccm kaanzia na vijana
  13. I

    Msaada: Jeshi la polisi linashtakiwa wapi? kwa nani?

    hapana jeshi la polisi ina fall kwenye executive na sio judiciary, halaf ukitaka kushtaki unamshitaki IGP na unamuunganisha AG, na majalada unayosema yanaanzia polisi ni kesi za jinai na huwezi kustaki jeshi la polisi kwa makosa ya jinai ni madai tu.
Back
Top Bottom